Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

Hii kutafuta ubingwa wa upuuzi na matusi ya kipumbavu yanini!! Unamtukana mama wa watu kakosea nini? Ama waitafuta laana?
Hakuna laana chochote, mimi mwenyewe nagawa laana, akinitukana nitamtukana tusi lolote mradi lmuume kesho ajibu hoja aache matusi. ameanza kunitusi, sitamchagulia tusi. lolote litatoka mdomoni mwangu. kwaheri!
 
ugonjwa dawa yake siku hizi ni kuficha kwamba hakuna mgonjwa wakati tuna hali mbaya sana

kifo kitatuumbua sure haya mambo sasa huko kwenye elimu ningepost picha moja tu basi inaweza leta matatizo makubwa sana kama hii imekuwa shida kiasi hiki.

hizi hawa kwa akili yenu ndo unadhani utamdanganya mzungu wakati they are watching us every day na wanajua kitanda chako kimeelekea kichwa kimeelekea wapi. unaweza kujificha kwa akili yenu ndogo
 
nzagambadume,
Uko kwenye vita ya uchumi ukipigana na mataifa yapi? Hayo mambo unayoyaona ya barabara mbovu yamesabibishwa na wizi wa hao viongozi wa CCM. Tangu uhuru nchi iko mikononi mwa CCM na leo unadanganywa kwamba nchi yetu imeibiwa na wageni. Jaribu basi kutumia akili yako ya kuzaliwa hata kama hukuenda shule.
 
Maendeleo yana chama!
IMG-20200206-WA0001.jpg
 
Af all zote ni 4WD. Pia kuwa V8 it doesn't mean kwamba ndo ina nguvu sana. Kuna L5 au L6 ambazo zinazi outperform v8 vizuri kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama v8 ni auto na hizo gears kuna namna ya kucheza nazo na kucheza na steering pia. Linakuja na suala la dereva ingawa naamini dereva kama wa KM lazima awe ni master of all roads katka hali yeyote ile. Kuzama au kukwama bahati mbaya pia na wakati mwingine inakupasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nzagambadume,
Mkuu hii post yako Ni ya kejeli , Wala sidhani eti uko serous kwamba unaunga juhudi za gambo, na wewe umepost barabara mbovu kwa mgongo wa bashiru 😀😀😀 Ila nikupongeze umetumia akili hapa vilaza hawakuelewi
 
Kazi ni kununuwa wanasiasa wanasahau kufanya mambo muhimu. mpumbavu hutumia nguvu ktk kila jambo lakini mwenye akili hutumia akili nguvu kiasi
 
Pole kwa kutomwelewa mtoa uzi, hajaunga mkono Gambo wala Rpc bali anawaponda
Kwanza hueleweki unalilia nini

Nchi ina changamoto ya barabara serikali ijitahidi kutatua changamoto kuliko kujisifia, kwani barabara zikiwa bora itakuwa siri? Si kila mtu ataona barabara nzuri?

Kuna maeneo serikali imejitahidi barabara ni nzuri na watu hupiga picha na kupost mbona hukuja kulalamika juu ya hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom