Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

Gambo alizungumzia kupost barabara mbovu za mbugani sio za nchi nzima
Ungekunya hadharani ndio tungejua una uchungu na Gambo,kulia hata paka analia
Nchi nzima ya wapi? Kama unaongelea tz umechanganyikiwa we wewe hujui rais magufuli kaunganisha lami wilaya na kata zote za nchi?
 
Kinacho msikitisha ni jinsi wanavyo jisifia kununua ndege wakati sisi watembea kwa baiskeli ambao ndio walipishwa kodi hatuna pa kupita
Kwanza hueleweki unalilia nini

Nchi ina changamoto ya barabara serikali ijitahidi kutatua changamoto kuliko kujisifia, kwani barabara zikiwa bora itakuwa siri? Si kila mtu ataona barabara nzuri?

Kuna maeneo serikali imejitahidi barabara ni nzuri na watu hupiga picha na kupost mbona hukuja kulalamika juu ya hilo?

In God we Trust
 
Gambo kwa hili kachemsha sana
Dah hivi inawezekana je mtu kama Bashiru anafanya kitendo kama hiki, ni ukatili kwa nchi yetu siyo kwa Gambo na Rpc peke yao.
Huu ni uhujumu uchumi ni kweli hauna jina lingine.



Hivi kaipost wapi au status yake ya whatsapp

In God we Trust
 
Wakisha kufa wana cdm ndiyo kutawafanya USA warudishe misaada yao walio iondolea Tanzania?

Au ndiyo Pompeo atamuondolea ban Bashite?

Au ndiyo kutawafanya icc isiendelee na mapango wake wa kuwafikisha the Hague?
KUFAAAAA MACHADEMAA BANA MMASHIDAAA LOH SUBIRI MB WA CCM HAPO MJINI 2021/UTAELEWA

In God we Trust
 
Angekuwa Arusha huyu angewekwa ndani,hairuhusiwi ku post barabara mbovu kwani si angeripoti kwa wahusika ifanyiwe kazi?yaani ingekuwa kule Arusha kwa RC Gambo na Rpc shana huyu jamaa angekuwa ndani na kesi ya uhujumu uchumi
Nadhani Bashiru kesharipoti hivyo..ingekuwa Mimi na wewe ndio tungekuwa ndani..Smart Doctor.
 
Hii nchi changamoto Sana. Yani nikajua hii picha ingesaidia na ingetumika kutatua kero za wananchi kupitia picha. Lakini inatafsriwa kuhujumu uchumi. Je ingekuwa barabara nzuri inge-postiwa kitendo hicho kingeitwa vipi?
 
Siku hizi barabara zimekuwa sawa na makalio (nyeti)? Maana kutaja nyeti matusi na kuonyesha barabara mbovu pia matusi!!!
 
Tanzania mpya
IMG-20200615-WA0021.jpeg
 
Watanzania wengine wapumbavu sana, Kama Barabara mbovu, kwanini zisianikwe hadharani..

Uzalendo sio kuficha maovu, uzalendo wa Kweli Ni Kufichua maovu ili nchi iende mbele..

Badilisha ufumo wako wa kufikiri,Mkuu
 
Back
Top Bottom