INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
918
1,000
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa kwendana na kasi ya muziki. Nisiongee sana ila tizameni video hiyo...

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
9,344
2,000

View attachment 2224166
Maisha ni kuchagua.
Nakumbuka enzi hizo yuko kwa Mj Marko Chali anamgongea ngoma tulibang nazo sana nikiwa high school.
Wote na Joseline walikuwa wanapita mle mle
 
chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
4,063
2,000
IMG_9893.jpg

IMG_9892.jpg

Bwana mdogo kaisha kabisa na muda wote yuko mitungi anahitaji msaada haraka sana, stress hupelekea mtu kua namna hiyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom