humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 620
Eneo la Kisutu kwa waislam halijajaa nalo?
wacha kumdanganya,Sky mtoto wa mjini, pisi kali ya miaka ya 90Hapana ni double mother
Kama kisha pata demu huko Kuzimu ama laaMkuu Bujibuji ulienda kuangalia maendeleo gani ya nduguyo aliepumzika hapo kinondoni?
huu uzi umenikumbusha kaburi fulani la ndugu yake Mobutu sese seko, waasi wa FDL walienda kutaka kulibomoa ili waibe dhahabu mana jamaa alizikwa na vitu vya thamaniKama kisha pata demu huko Kuzimu ama laa
Mhm ningependa kufahamu zaidi kuhusu hili tafadhalihuu uzi umenikumbusha kaburi fulani la ndugu yake Mobutu sese seko, waasi wa FDL walienda kutaka kulibomoa ili waibe dhahabu mana jamaa alizikwa na vitu vya thamani
walipofika wakaanza kwa kulifyatulia risasi lile kaburi lakini risasi ilienda ikakata kona ikamrudia aliyefyatua na kumpiga kifuani akaanguka na wenzie wakaamsha mbio,marehemu aliitwa Maboti nadhani
Mimi msinifanyie cremation, huo moto nikutane nao huko sio niuanzie hapa duniani.Ila sisi binadamu tuna uchuro sana. Kwanini ujengee kaburi? Tena ikiwa ni makaburi ya public?
Kama ni makaburi ya familia sawa jengeeni ila kama unazikwa kwenye cemetery za jumuiya msiwe mnajengea. Kwasababu kiuhalisia ni kuwa ingekuwa makaburi hayafukuliwi na kuzikwa wengine hapo Kinondoni pangeshajaa miaka ya zamani sana.
Wanaojengea makaburi ni wabinafsi tu. Mtu akishakufa amaekufa mzikeni sawa ila msijengee kaburi ili na wengine wakifa wapate pakusitiriwa.
Ifikie mahali pia tuwe na tamaduni za kufanya cremation (kuchoma miili baada ya taratibu za msiba). Hii itapunguza uhitaji wa ardhi ya kuzikia watu.
Sisi wamasai zamani mtu alikuwa akifa tunampaka mafuta ya kondoo na anapelekwa vichakani huko analiwa na fisi habari yakw inakuwa imeisha.
Hivi unajua kuwa zamani lile eneo la stanbic Bank salender ilikuwa kuna makaburiMhm ningependa kufahamu zaidi kuhusu hili tafadhali
Duh.. Then ndio yakahamia kule juu?Hivi unajua kuwa zamani lile eneo la stanbic Bank salender ilikuwa kuna makaburi
Ova
HayajaiNimeelewa. Kumbe ardhi yote imshajaa kwahiyo siku hizi watu wanachimba kaburi juu ya kabuki. Maana "Makaburi ya Kinondoni" ni ya muda mrefu sana.
Hata Ilala na Mbagala makaburi yalivunjwa kupisha upanuzi wa barabaraHivi unajua kuwa zamani lile eneo la stanbic Bank salender ilikuwa kuna makaburi
Ova
Kwanini hatuchomwi kama wadosi?Huyo mbona mdogo hata wale wakubwa kwa cheo na ubora kuzidi haifai kuwajengea makaburi.
Ndiyo maana kuna baadhi ya mitume hawajulikani au haijulikani makaburi yao yako wapi. Hii ni hekima kubwa sana.
How?Disturbing the dead.!
Hamna kitu kama hicho dada. Ni story za kuwatisha tu.Mimi msinifanyie cremation, huo moto nikutane nao huko sio niuanzie hapa duniani.
Hivi ukitaka kuzika kinondoni nini kinahitajika zaidi
Lakini makaburi ya waislam Kisutu, uhuni kama huo hakuna.Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena.
Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
Unakumbuka ya katume chpuchupu wayahamisheHata Ilala na Mbagala makaburi yalivunjwa kupisha upanuzi wa barabara