Yaani kuhusu tamko "kuabudu" mimi nakufundisha wewe sababu umekosea kulitumia. Kwa ufupi huju maana ya kuabudu.Mkuu Mubarridi unaonaje ukijijibu wewe mwenye ujinga wako, na iwe faida kwako, ili ubaki na ID yako?
Nasikia mtu akifa anageuka kuwa mzimaIla sisi binadamu tuna uchuro sana. Kwanini ujengee kaburi? Tena ikiwa ni makaburi ya public?
Kama ni makaburi ya familia sawa jengeeni ila kama unazikwa kwenye cemetery za jumuiya msiwe mnajengea. Kwasababu kiuhalisia ni kuwa ingekuwa makaburi hayafukuliwi na kuzikwa wengine hapo Kinondoni pangeshajaa miaka ya zamani sana.
Wanaojengea makaburi ni wabinafsi tu. Mtu akishakufa amaekufa mzikeni sawa ila msijengee kaburi ili na wengine wakifa wapate pakusitiriwa.
Ifikie mahali pia tuwe na tamaduni za kufanya cremation (kuchoma miili baada ya taratibu za msiba). Hii itapunguza uhitaji wa ardhi ya kuzikia watu.
Sisi wamasai zamani mtu alikuwa akifa tunampaka mafuta ya kondoo na anapelekwa vichakani huko analiwa na fisi habari yakw inakuwa imeisha.
Wapi huko mkuu na mimi niendeNasikia mtu akifa anageuka kuwa mzima
Wakora noma sanawateja walitimka na kuacha vitu mezani .. Kuja baadae kuangalia jamaa wameacha mishuka na mimiti yao mezani
Wapi huko mkuu na mimi niende
Gwajima anataka amrudishe HamzaWapi huko mkuu na mimi niende
Kuzkwa Kinondoni ni ujiko, alisikika mwanasisa akiomba kuraMakaburi hayo yavunjwe yote hilo eneo pawekwe miradi ya maendeleo,hii stereotype ya kuabudu makaburi ifike mahali iishe,kila mtu anazikwa Kinondoni mtu anaishi Mbezi Luis ila anafariki anazikwa Kinondoni upuuzi sana.
Bara wapi mkuu shinyanga auBuji makaburi ya hapo hayamalizi miaka kumi hasa yale ambayo ndugu zao hawayatembelei mara kwa mara... Linapandiwa dau watu wanaenda kujenga heshima bara
Dah typing error ni bar mkuuBara wapi mkuu shinyanga au
Fisi hao wakikosa maiti watahamia kijijiniIla sisi binadamu tuna uchuro sana. Kwanini ujengee kaburi? Tena ikiwa ni makaburi ya public?
Kama ni makaburi ya familia sawa jengeeni ila kama unazikwa kwenye cemetery za jumuiya msiwe mnajengea. Kwasababu kiuhalisia ni kuwa ingekuwa makaburi hayafukuliwi na kuzikwa wengine hapo Kinondoni pangeshajaa miaka ya zamani sana.
Wanaojengea makaburi ni wabinafsi tu. Mtu akishakufa amaekufa mzikeni sawa ila msijengee kaburi ili na wengine wakifa wapate pakusitiriwa.
Ifikie mahali pia tuwe na tamaduni za kufanya cremation (kuchoma miili baada ya taratibu za msiba). Hii itapunguza uhitaji wa ardhi ya kuzikia watu.
Sisi wamasai zamani mtu alikuwa akifa tunampaka mafuta ya kondoo na anapelekwa vichakani huko analiwa na fisi habari yakw inakuwa imeisha.
Mkuu; Usishangae tu - Ila ww na Wadau chukueni hatua ya kuishauri Manispaa ya Kinondoni kuanzisha Makaburi ya Ghorofa. Kwa kufuata utaratibu i.e.Kaburi moja lina weza kuchukua miili 4-5. Na Kibao hapo juu kitaonesha majina ya Waliomo (Miili iliyosetirika hapo) Hakuna nembo ya Dini. Fuatilieni kinachofanyika Denmark .mimi nashangaa manispaa ya kinondoni kwanini hawakatazi watu kuendelea kuzikana pale maana kumejaa sna na mateja wapo pale ndio wanaofanya huu ujinga wanatafuta makabuli ya mda kidgo wanayaharibu makusudi hii si sawa ni lazima tuwaheshimu ndugu zetu walitangulia mbele ya haki kama kumbukumbu kwetu na ndugu zao..serikali mnasubili nini kuzuia huu ushenzi unaofanyika hapo kinondoni?
update ..
nimepita hapo mda huu ni kweli kabisa nimeshuhudia hayaa kwa macho yangu wahuni tu wapo pale wanatafutatafuta visehemu wanachimba kwa kuharibu makaburi ya zamani. hii si haki.
Believe me. Tutafika huko tu. Time will tel. Wenzetu wamefikia hapo. Nenda mji wa Slagelse utayakuta Mkuu.
Ndio Mana uislam unakataza kujengea makabur kwa ajili hiyo umeshakufa miaka 20 iliyo pita ardhi ndogo azikwe mwingine
👍Solution ya huu ujinga wote kabisa ni ku-privatize huu ujinga wote.makampuni binafsi yaendeshe haya makaburi for a profit:
1)Privatize makaburi
2)Privatize stendi zote
3)Privatize machinjio yote
4)Privatize masoko yote
5)Private kila kitu
Haya mambo yaendeshwe for profit,kila mwananchi alipie vifo vyao na kila kitu.
Bila hivyo hii nchi ni pori jumlisha pori