INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

Dah, watu wanaroho ngumu sijapata kuona, yaani unafukua kaburi ili uzike mwingine!??
Na wewe kwa upumbavu wako unaona eneo limejaa bado unaforce ndugu yako azikwe town dar es salaam kinondoni.

Wabongo sijui tumemuazima nani akili zetu azitumie na hataki kuturudushia.
 
Hivi Jiji la Dar limeandaa maeneo mengine ya kuzika wafu, maana Kinondoni ni kama pamejaaa sasa
 
Mungu anisamehe lakini tulifanya sana matusi na kuroga kwenye hayo makaburi miaka ileee
Mshana unalikumbuka lile tukio la watu kujifanya mazombie,wakatoka makaburini
Kuwatimua jamaa waliyokuwa wanalewa opp
Na mlango wa kuingia ,unaikumbka ile grocery
Kitambo sana wazee,wajanja wa mjini walikuwa wanapenda kukaa 😂😂😂
Watu wazima walitoka nduki

Ova
 
Mimi mda wakumjibu mjinga na kujibu ujinga sina, mjinga nampa nafasi ya kujijibu ujinga wake.
Laiti ungejua nini maana ya tamko "kuabudu" usinge andika kilichopelekea mimi kukuuliza maana ya kuabudu.

Hili tatizo la kutokujua maana ya maneno mnayouatumia limekita mizizi sana humu jf.

Mkiwa mnajadili mijadala ya kielimu muhakikishe mnajua maana za maneno mnayo yatumia. Wewe nakupa miaka kumi ulete maana ya kuabudu ukipatia katika hiyo maana mimi situmii tena hii ID.
 
Kuna watu wanafariki inabidi wawekewe kumbukumbu. Lakini makabila ya ajabu ajabu mkifa mnasahaulika hata na watoto wenu huna haja ya kujengewa
Hakuna watu bora kuwazidi mitume,athari ya mema huwa haifutiki na Mola wetu huwa anakipa uhai mrefu kilicho chema.

Leo wapo watu walikufa ambao makaburi yao hayajulikani yako wapi lakini wanakumbukwa na kutajwa kila uchwao mfano mzuri ni nabii Musa na wasio kuwa yeye katika waja wema.
 
Mshana unalikumbuka lile tukio la watu kujifanya mazombie,wakatoka makaburini
Kuwatimua jamaa waliyokuwa wanalewa opp
Na mlango wa kuingia ,unaikumbka ile grocery
Kitambo sana wazee,wajanja wa mjini walikuwa wanapenda kukaa
Watu wazima walitoka nduki

Ova
wateja walitimka na kuacha vitu mezani .. Kuja baadae kuangalia jamaa wameacha mishuka na mimiti yao mezani
 
Laiti ungejua nini maana ya tamko "kuabudu" usinge andika kilichopelekea mimi kukuuliza maana ya kuabudu.

Hili tatizo la kutokujua maana ya maneno mnayouatumia limekita mizizi sana humu jf.

Mkiwa mnajadili mijadala ya kielimu muhakikishe mnajua maana za maneno mnayo yatumia. Wewe nakupa miaka kumi ulete maana ya kuabudu ukipatia katika hiyo maana mimi situmii tena hii ID.
Mkuu Mubarridi unaonaje ukijijibu wewe mwenye ujinga wako, na iwe faida kwako, ili ubaki na ID yako?
 
Back
Top Bottom