Inasikitisha lkn ndio ukweli wenyewe

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,800
6,280
Kwamba Viatu vya Hayati Mandela alivyoviacha Tz kipindi kile cha harakati za kuikomboa Sauzi vina umaarufu kuliko wewe!
 
Watasikitika wale ambao quest for popularity is their purpose on earth....Hakuna Sehemu uliambiwa umeumbwa ili uwe maarufu.
Na kwanza popularity sio zawadi ni mzigo.
Uwe maarufu so what?????

Coz naweza kwenda BOT na kisu ama nikabeba UNGA wa bahressa nikalazimisha kupita nao airport nikawa maarufu kuliko those shoes
 
Kazi kweli kweli. Kwangu umaarufu huwa siufagilii kiviile na nisingependa kuwa karibu na mtu maarufu
 
Kweli alisema Wanaume tuna Period yetu hakukosea,

Huwezi kuwaza mambo hayo kama huna jam kichwani
 
Back
Top Bottom