Inasikitisha kwakweli: Aliyekuwa MC msiba wa Ruge Kibonde kafariiki kabla ya 40 na aliyelisha watu msiba wa Kibonde Mengi kafariki kabla ya 40!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,819
141,724
Ni jambo linalosikitisha sana kwa kweli ingekuwa kwa jamaa zetu akina Kamanda Mshana jr mida hii wangekuwa milimani wanayauliza mapango kulikoni.

Mungu awapumzishe kwa amani watatu hawa!
 
Yaan ile rate ya wanaume kufa mapema mie ndo naiaminj hapa..tumefiwa na madume ma3 ...so ni 3-0...Mungu tuepushie na vifo hivi jaman

Ila wote ni CCM🤔..Kadi 3 hizo
 
  • Masikitiko
Reactions: vvm
Yaan ile rate ya wanaume kufa mapema mie ndo naiaminj hapa..tumefiwa na madume ma3 ...so ni 3-0...Mungu tuepushie na vifo hivi jaman

Ila wote ni CCM🤔..Kadi 3 hizo
Hivi unahisi Kibonde na Mengi walimpigia KURA nani ya uraisi? Binafsi siamini kama KURA zao walipeleka kwa mgombea wa ccm, sidhani aise.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom