Inasikitisha , Kanda ya Kaskazini Kinara wa Ukeketaji Nchini, Manyara Yaongoza

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
RIPOTI ya hali ya ukeketaji nchini inaonesha kuwa Mkoa wa Manyara ni kidedea kwa kukeketa wasichana nchini.

Taarifa hiyo imetolewa na Msimamizi Mkuu wa vipindi wa Redio hiyo, Emmanuel Likuda wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukeketaji kwa Mikoa ya Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Redio ya C-FM ya Jijini hapa jana.

Kwa mujibu wa Tanzania Demographic and Health Survey and Malaria (TDHS) ya 2015-2016, Mikoa inayoongoza kwa ukeketaji ni Manyara (58%), Dodoma (47%), Arusha (41%), Mara (32%), na Singida (31%)

Kampeni hiyo imepewa jina nisitiri nina haki ya kutimiza ndoto zangu,usinikekete,usinipe mimba utotoni ambapo balozi wa kampeni hizo ni Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diana Exavery maarufu kwa jina la Malaika.

Alisema ripoti hiyo imefafanua kuwa ukeketaji hufanywa kwa asilimia 86 na mangariba au wakeketaji wa jadi na asilimia 25 hukeketwa katika umri wa miaka 13 na zaidi
 
Wanatunyima tu utamu yaani kidume nasimamia ukucha pisi ndo kwanza inasema ma yoo mbona bado tu?
 
Sijui habari yako inataka kutuambia Nini!
Hivi unaweza kuzitaja hasara za FGM kwq ifano halisi iliyoshiba Sayansi!
 
Acheni wakatwe vikua tena vinakatwa vizuri halafu wanaume hamjui tu hawa wadad wanakuwa ni watamu balaa! kuna mpango wa kutotahiri wanaume sasa.
 
Back
Top Bottom