Inasikitisha: Eti dawa ya wanaosomeshwa imepatikana...

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,702
Ni ujumbe mbaya unaosambaa kati ya vijana wanaojiita mabaharia.. Wanaohamasishana kuwatendea maovu mabinti waliowasaidia kimaisha.... Na hili linachagizwa zaidi na haya mauaji ya mabinti wanaokuwa wawazi kwa wapenzi wao ambao hawawapendi tena....
Wanajitapa kuwa dawa yao imepatikana bado wale wale wa TUMA NAULI NIJE.. halafu wakishatumiwa wanaingia mitini... Hawatokei....
Pamoja na pesa kuwa ngumu na maisha kuwa na changamoto nyingi ni lazima kila upande kuwa na tafakuri...
Mabinti msile vya wanaume kama hamuwapendi... Na wanaume epukeni maamuzi yanayoongozwa na jazba....

Wote nyie kwa kujifanya wajuaji na watemi mnaishia kugawana majengo ya serikali... Mmoja akienda mochwari (ofisini kwangu) mwingine mahabusu
IMG-20191023-WA0084.jpeg
 
Kungekuwako na tafakuri kidogo huyu asingekuwa kaburini muda huu na mwenzake asingekuwa nyuma ya nondo... Wameamuacha mtoto bila wazaziView attachment 1242117
Mkuu Mimi ilishanitokea hii kesi laivu kabisa niliumia na kunyongonyea mwezi mmoja. Baadaye nika'move on.. Baada ya miezi 8 alinitafuta kWa kunisumbua turudiane, hapo ndipo nilipomuita mbele ya mchumba wangu mpya ajieleze, aliondoka miguu inagongana kwa aibu na mbelel ya hadhara sasahv kapigika hana mbele wa LA nyuma
 
Safi Mkuu...

Adhabu murua kabisaa....
 
Ni ujumbe mbaya unaosambaa kati ya vijana wanaojiita mabaharia.. Wanaohamasishana kuwatendea maovu mabinti waliowasaidia kimaisha.... Na hili linachagizwa zaidi na haya mauaji ya mabinti wanaokuwa wawazi kwa wapenzi wao ambao hawawapendi tena....
Wanajitapa kuwa dawa yao imepatikana bado wale wale wa TUMA NAULI NIJE.. halafu wakishatumiwa wanaingia mitini... Hawatokei....
Pamoja na pesa kuwa ngumu na maisha kuwa na changamoto nyingi ni lazima kila upande kuwa na tafakuri...
Mabinti msile vya wanaume kama hamuwapendi... Na wanaume epukeni maamuzi yanayoongozwa na jazba....

Wote nyie kwa kujifanya wajuaji na watemi mnaishia kugawana majengo ya serikali... Mmoja akienda mochwari (ofisini kwangu) mwingine mahabusuView attachment 1242084
I
 
Daah ila mkuu hapo huwa inauma mie mwenyewe ni mhanga wa hili japo mimi nilideal na ajira yake na ajira ya jamaa yake hadi nihakikisha hawana kazi serikalini ndio moyo ukatulia, japo now nawaonea huruma ila hili jambo lisikie tu kwa mtu omba lisikukute.

Maana unakuta binti wawatu Hana mwelekeo na anaitaka elimu na si hivyo tu umempenda kweli umeweka hadi malengo kama yangu kuwa namsomesha na nanunua eneo ili akimaliza aje asimamie shule nikajipinda mzee mkopo kama wote nikanunua hekar za kutosha na kusomesha sana , mwisho wa siku naambulia matusi na kejeli kibao, aisee nahisi huwa wanahadidhiana Mda kulala nilichokifanya.

Kama bado hujapita humo huwezi kuelewa ila ukipita humo aisee unatamani umalize mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom