Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Baada ya kuokoteza Mgombea Urais 2015, inasikitisha CDM hatuna Mpango wa kuandaa Mgombea wa Mwaka 2020. Ajabu tunaendekeza Siasa za Matukio tu kama utekaji,Vyeti bandia n.k. Au tutamuangukia tena Dr. Slaa?? Tunangoja nini sasa? Tutaishi kwa kubabaisha mpaka lini?
Nashauri tuandae Wagombea Vijana wanaouzika na wenye weledi katika Siasa na Uongozi wa Nchi. Tuachane na kuokoteza Makapi ya CCM hatuwezi kuchukua dola kwa mtindo huo!
PEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPLEEEEEEEEEEEEEEEEE'S..........