Inashangaza: Watetezi wa CAG ndio hao hao wanaomtetea Makamba Jr dhidi ya ufisadi ulioibuliwa na Prof. Assad!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,868
Kiukweli katika swala hili Musiba wa Tanzanite ana hoja.

Binafsi niliwashambulia sana Chadema kuhusu ile Nissan Patrol iliyotajwa na CAG kuwa wamekopeshana.
Kadhalika nilimwomba ndugu Polepole naye atufafanulie juu ya nyumba 196 za CCM zilizoandikishwa kwa majina ya watu binafsi.

Inashangaza leo bavicha wanamtetea Makamba dhidi ya Musiba wakati kile kilichoandikwa katika gazeti la Tanzanite ni nukuu ya ripoti ya CAG ambaye Chadema wanamuona ni kama mtume.

Maendeleo hayana vyama!
 
..tatizo ni CCM / Magufuli Ruling Party na msemaji wao Musiba.

..usichukulie kwamba watu wanaunga mkono ufisadi, bali chukulia kwamba wanaipinga ccm/ mrp na ukatili na chuki walizozileta ktk utawala huu.
 
Kama una amini chadema wanajielewa kukaribia hata uelewa wa panzi, pole yako sana
 
CAG kafichua hilo deni la Saccos ya Bumbuli walilokopa NSSF

Hakumtaja Januari Makamba

Jukumu lenu ni kuonesha mahusiano ya kijinai

Saccos zote za Chatto zimerejesha mikopo?

Kama hazikurejesha lawama apewe aliekuwa Mbunge?

Kwa maoni yangu Januari hafai kuwa Rais wetu kwa kuwa ni mpole sana sana na ni bingwa wa kukwepa lawama lakin haimaanish asingiziwe

Kama Januari kafanya jinai kwanini Asishtakiwe ili arudishe mzigo huo wa wastaafu badala ya kupiga Siasa ?

Musiba yeye kila Siku anamtukana CAG kuwa anatumiwa na Mabeberu kuchafua nchi halafu hapo hapo anatumia Report hiyo hiyo ya CAG kama evidence ya tuhuma zake dhidi ya Januari!

Ulemavu sio kwny Viungo tu hata kichwani zikipungua unakuwa mlemavu pia
 
tatizo ni musiba, he is a disgrace

..u r 100% correct.

..Musiba na Magufuli Ruling Party wamekosa uhalali wa kuungwa mkono hata wanapotenda mema.

..Uovu walioufanya ni mkubwa kupita maelezo.
 
Hahahaa....... Kwahiyo tatizo ni Musiba siyo ukweli aliousema.

Waswahili bhana......heri yake Prof Lipumba!
 
Tunataka evidence aliyosema sio kusema tu halafu hatuna evidence

Pesa hiyo Januari kachukuaje?

Ushahidi ukipatikana tutamuunga Mkono
 
..u r 100% correct.

..Musiba na Magufuli Ruling Party wamekosa uhalali wa kuungwa mkono hata wanapotenda mema.

..Uovu walioufanya ni mkubwa kupita maelezo.
Siasa za Tanzania zimefika patamu kama siyo zinasikitisha kabisa.

Yaani ukimchukia Bulaya ndio unayakataa na mema yake yote kwa taifa hili?........ Ukristo kweli kazi!
 
Tunataka evidence aliyosema sio kusema tu halafu hatuna evidence

Pesa hiyo Januari kachukuaje?

Ushahidi ukipatikana tutamuunga Mkono
Ilisemwa hapa siyo kazi ya CAG kutoa ushahidi bali hiyo ni kazi ya polisi na Takukuru!

So nadhani Musiba anajaribu kuvikumbusha vyombo......ila ndio hivyo akatishiwa usiku wa giza!
 
Siasa za Tanzania zimefika patamu kama siyo zinasikitisha kabisa.

Yaani ukimchukia Bulaya ndio unayakataa na mema yake yote kwa taifa hili?........ Ukristo kweli kazi!

..wengine wanaamini hao wanaowapinga wamehusika KUMWAGA DAMU za ndugu na marafiki zao.
 
CAG kafichua hilo deni la Saccos ya Bumbuli walilokopa NSSF

Hakumtaja Januari Makamba

Jukumu lenu ni kuonesha mahusiano ya kijinai

Saccos zote za Chatto zimerejesha mikopo?

Kama hazikurejesha lawama apewe aliekuwa Mbunge?

Kwa maoni yangu Januari hafai kuwa Rais wetu kwa kuwa ni mpole sana sana na ni bingwa wa kukwepa lawama lakin haimaanish asingiziwe

Kama Januari kafanya jinai kwanini Asishtakiwe ili arudishe mzigo huo wa wastaafu badala ya kupiga Siasa ?

Musiba yeye kila Siku anamtukana CAG kuwa anatumiwa na Mabeberu kuchafua nchi halafu hapo hapo anatumia Report hiyo hiyo ya CAG kama evidence ya tuhuma zake dhidi ya Januari!

Ulemavu sio kwny Viungo tu hata kichwani zikipungua unakuwa mlemavu pia

Kama unaamini chadema ni chama cha siasi au ni saccos gonga like hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom