Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 224
- 591
Ni jambo la kawaida kwa mtoto kuogopa Giza. Lakini ni janga kubwa la kutisha pale mtu mzima anapoogopa Mwanga.
Nchi ya Tanzania kwa miaka mingi imekuwa gizani. Wasomi wamezima taa za kandili na mianga ya kila aina na kujificha gizani. Wamegundua kwenye giza wanaweza kula bila kuonwa. Huko wanakula bila hata kunawa huku wakikomba mboga.
Inasikitisha sana.