Inasemekana Waziri kijana wa Somalia ameuawa kimakosa na Walinzi wa Ikulu

Mmh walidhamiria hao

misasa,
Yaani wamemuua ƴule ƙijana. Historia ƴa maisha ƴaƙe tu , inatia huruma ɓado hizo nƴang'au za maaɗaraƙa zimenƴ'ofoa roho ƴaƙe.

Inauma sana.
 
Ina maana magari yake hawayajui mpaka wamuue?!na kabla ya yote kama walihisi ni magaidi kwanini wasimuamrishe kushuka kwenye gari kabla ya kumfyatulia risasi?!

Walipanga kumuua

Ilikuwa gari binafsi chief!!! Ama hapa bongo tunazitambua gari za akina Mwakyembe & Co.
 
huyo dogo kaishi muda mrefu nje ya somalia tokea utotoni alikuwa akiishi kwenye kambi ya wakimbizi kenya ndo maana ana mwili kidogo..
wale al-shabaab wa ndani somalia ni kula mirungi full time, chakula hawali vizuri ndo maana ni wembambaaa kama fito..
Ila msomali kwa kweli si mtu... we waonage tu hivi huku mjini lakini ukutane nao porini hata awe mwembamba vipi kama mkononi kashikilia SMG au AK lazima utaharisha tu...

mƙuu, nchi zote amɓazo zimepitia machafuƙo ƴoƴote ƴale, wananchi waƙe wanaƙuwa na psƴchological trauma.

Mifano, angalia nchi zote ɓaaɗa ƴa machafuƙo watu waƙe huwa ni wachungu na wakujitoa mhanga daƙiƙa sifuri ameisha ua mtu.
 
Ilikuwa gari binafsi chief!!! Ama hapa bongo tunazitambua gari za akina Mwakyembe & Co.

Ɓonge Ɓonge,

Kumɓuƙa waziri ƴeƴote ƴule anaƙuwa na ulinzi 24/7 visiɓle na invisible secret service agents. Sasa, mɓaƴa zaiɗi ni ƙwenƴe gate ƴa state house!

Unbelievaɓle.
 
Waziri wa Ujenzi wa Somalia ameuawa jioni hii kwenye lango la Ikulu na walinzi wa Rais wa Somalia kimakosa baada ya kudhania gari aliyekuwa amepanda Waziri huyo lilikuwa la magaidi wa Alshabaab.
17b6ed6d77c2f8e8fe6b09463a7a5fea.jpg

Waziri Abdullah Abas alikuwa Waziri mwenye umri mdogo kabisa, umri wake ulikuwa miaka 31
Yaan wanashindwa kutofautisha gari la serikali au wenzetu kila mmoja na gar yake!!!??
 
Hapo bashite ameshaiga,sasa atamaliza watu ! Nape na wenye msimamo kama Wake, wawe macho.
Na kwakua analindwa na kupongezwa kwa kazi zake za matumizi haramu ya silaha na madaraka,sasa atafanya zaidi na hadharani akidai
Hata somalia walifanya kwa ajili ya ubashite wake !
 
Ilikuwa gari binafsi chief!!! Ama hapa bongo tunazitambua gari za akina Mwakyembe & Co.
Hata kama ni Private!!ina maana ikulu kuna geti moja tu?huyu waziri alishapita geti la kwanza wakamkagua na akapita kuingia Ikulu kabisa,hawana hata Redio Call ya mawasaliano wakawauliza askari wa nje ya geti?!kama walikuwa na wasiwasi si wangemwamuru ashuke kwenye gari na ajisalimishe?!askari gani anakuwa mzembe kiasi hicho?!tena usalama waTaifa?!

Kuna kitu nje ya box,na ndio maana washukiwa wa mauaji wamekamatwa
 
Back
Top Bottom