Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
[FONT=Helvetica, Arial, lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]kuna tetesi zimeenea kwenye blogs mbalimbali kuwa bwana Wambura [/FONT]Baada ya kuenguliwa kutogombea nafasi ya Urais katika uchaguzi ujao wa klabu ya Simba, Wambura amefunguka na kusema nitagombea uenyekiti katika klabu ya Yanga. Wambura aliendelea kusema kuwa hakuna ubaya wowote kugombea Yanga. Kama wao Simba wameona sifai basi nitakuwa tayari kuwatumikia yanga. Alipoulizwa kuwa je haoni kuwa itakuwa vigumu kwenda kugombea upande wa pili wa mahasimu wa timu yake alisema hapana. Alisema soka limebadilika sana siku hizi. Akitolea mfano wa Martin Kenyon, Wambura alisema mbona aliweza kuondoka Manchester United na kwenda kuwa Mtendaji Mkuu Chelsea. Pia Wambura alizidi kutiririka kwa kusema kuwa kama wachezaji wanaweza kutoka Simba kwenda Yanga au Yanga kwenda Simba kwa nini kwake yeye isiwezekane?
Juhudi zangu za kumpata Wambura kuthibitisha madai haya zimegonga mwamba
Juhudi zangu za kumpata Wambura kuthibitisha madai haya zimegonga mwamba