Inasemekana wakubwa huko TPA wamejipanga kuruhusu kontena nyingi zielekezwe kwenye bandari kavu ICDs kama kabla ya utawala wa Magufuli

Dhana nzima ya uanzishwaji wa ICD & CFs ni kupunguza wingi wa makontena kujaa bandarini huku yakisubiri process za clearance.

Katika dhana hii ni wazi gharama zitamzidia mteja wa mzigo, matajiri wenye ICD wataweza kushibisha account zao na serikali kwa ujumla itapata mapato.

Kinachotakiwa kufanyika ni wadau wa bandari kupendekeza gharama zishuke zaidi za port charges na cargo clearance.
 
Back
Top Bottom