babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,221
- 3,167
Kume kuwa na fununu kwamba president Trump anaweza kujiunga tena Myspace baada ya kupigwa kufuli na social media nyingine.
Vile vile mtoto wake wa kiume Trump Jr amedokeza wanaweza kuanzisha social media yao wenyewe.
Je, Myspace watafuata mkondo wa makampuni mengine kama Apple, Twitter, Facebook na kadhalika, kuto mkubalia au wataona hii ndio chance yao ya kurudi kwenye biashara kama zamani kutoka na Trump ana followers wengi kwenye social media, mfano Twitter karibia 90 milioni?