Inasemekana Trump anaweza ku re-join MySpace baada ya social media nyingine kumfungia

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,967
2,000
Kume kuwa na fununu kwamba president Trump anaweza kujiunga tena Myspace baada ya kupigwa kufuli na social media nyingine.
Vile vile mtoto wake wa kiume Trump Jr amedokeza wanaweza kuanzisha social media yao wenyewe.

Je, Myspace watafuata mkondo wa makampuni mengine kama Apple, Twitter, Facebook na kadhalika, kuto mkubalia au wataona hii ndio chance yao ya kurudi kwenye biashara kama zamani kutoka na Trump ana followers wengi kwenye social media, mfano Twitter karibia 90 milioni?
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,967
2,000
China na Iran waliona mbali, hawakusubiri huu utumwa wa dunia nzima kuwa Twitter, Facebook, instagram, au kutegemea adroid.
Hizi social media zina mchango mkubwa sana katika kukuza democracy.
Hizi nchi kama China na Iran hawakurusu ili waendelee kuminya demokrasia. Mfano, hapa kwetu wakizifungia unaona itakuwa ni sawa?
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,287
2,000
China na Iran waliona mbali, hawakusubiri huu utumwa wa dunia nzima kuwa Twitter, Facebook, instagram, au kutegemea adroid.
Comment bora ya siku, naongezea.

Hata demokrasia China,Urusi n.k waliona mbali, demokrasia ndio inaivuruga US kwa sasa. Migogoro mingi inasababishwa na kutoelewana kisiasa.
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,149
2,000
China na Iran waliona mbali, hawakusubiri huu utumwa wa dunia nzima kuwa Twitter, Facebook, instagram, au kutegemea adroid.
Watu wanafurahia sana kwa sababu hawampendi mzee wa watu. Ila hii iwe wake up call kwetu pia. Wanaweza leta hata vita hawa. Whoever controls information flow controls the thinking and consequently actions of members of that media.

Ila sema kuwa na social media Bongo changamoto sana!
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,149
2,000
Comment bora ya siku, naongezea.

Hata demokrasia China,Urusi n.k waliona mbali, demokrasia ndio inaivuruga US kwa sasa. Migogoro mingi inasababishwa na kutoelewana kisiasa.
No. Kinachowavuruga sasa hivi hawa Marekani ni kuwa na mkundi mawili. Moja lina leseni ya kukanyaga sheria na katiba bila kuadhibiwa. Na la Pili ni wale wanaofuata sheria na kukanyagwa nankundi la kwanza!
 
Hey

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
759
1,000
No. Kinachowavuruga sasa hivi hawa Marekani ni kuwa na mkundi mawili. Moja lina leseni ya kukanyaga sheria na katiba bila kuadhibiwa. Na la Pili ni wale wanaofuata sheria na kukanyagwa nankundi la kwanza!
Nilikusoma mahali humu ukiita mtu majina kwa kutokubaliana na mategemeo yako kuhusu rais atakayeapishwa tar 20. Naona bado unaongea kwa mamlaka kuhusu siasa za marekani japo ule uzi sidhani kama umerudi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom