Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by majonzi32, Nov 2, 2010.

 1. majonzi32

  majonzi32 Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 16, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE huko jimboni kwake ULANGA......
   
 2. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Confirmed
  na hii ndio hali halisi.

  wakuu mimi nilihitimisha ktk thread yangu na kurudia msimamo huo ktk thread hii na ile breaking news, ukweli ni kwamba ccm na hasa wananchi wa mtimbira wamemuangusha prof. Mlambiti, mimi ni mwana ccm na ninakiri kuwa mtimbira walijiandaa hata kuua mtu aili mradi mbunge anatoka pale, niliwapinga sana njayagha na ngonyani simon kuwa wasiingie ktk kinyang'anyiro hiki 2010 na wamuache mzee wao amalizie msimu wa mwisho na ninawahakikishia kuwa prof. Mlambiti baada ya kushindwa na dkt. Ngasongwa kwa misimu mitatu 2005 alitamka hadharani kuwa sasa yeye na ngasongwa basi. Hii ilinifanya niamini kuwa prof. Mlambiti alikuwa na agenda binafsi na ngasongwa, sasa kilichotokea baada ya hawa jamaa ngonyani na njayagha kumharibia ngasongwa ktk ngome yake kule malinyi na ngoheranga binafsi nilijua wakiingia tarafa ya mtimbira hakuna wa kutoka na ikawa hivyo, mgawanyiko ulitokea lupiro lakini walikuwa washachelewa hatimaye hadji mponda akawashinda wote na kufuatiwa na njayagha na ngasongwa nafasi ya tatu.

  baada ya matokeo hayao moyoni niliamini kuwa yamekwisha ghafla akajitokeza tena prof. Mlambiti kwa tiketi ya chadema, nilijiuliza sana kwanini hawa waliokuwa na hamu ya jimbo hili tangu 1995 na uhuru iweje wapingane??!! Ndipo nilipobaini na kutambua uhalisia wa prof.mlambiti kuwa kwake tatizo ni ccm na siye individuals, which is better for democracy.

  nikajiuliza ikiwa 1995-2005 opposition ngome yake ni mtimbira kwangu tatizo likawa ni malinyi, sasa ghafla malinyi ikajivika hadhi ya upinzani na kumkarimu prof.mlambiti, mlambiti ameongoza ktk tarafa za malinyi na ngoheranga, mtimbira ameongoza mponda na kule lupiro taarifa ni kuwa prof aliongoza, figures ni hizi : Hadji mponda 18627- prof.mlambiti 15814 tofauti ni kura 2813 alizozipata mtimbira.

  kuna taarifa kuwa kura za mtimbira zilijaa mizengwe na udanganyifu, professa mlambiti ameangushwa na ndugu zake kwa njaa zao. Maana kuna ushahidi wa wazi kwa wapiga kura kugawiwa shs elfu 10-20 toka mgombea wa ccm, hali hii imeonekana malinyi na mtimbira, kibaya zaidi mawakala wa chadema mtimbira ndio walionunuliwa na kumuuza mgombea wa chadema.

  yamepita haya na tugange yajayo wana ulanga magharibi.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  SIO KWELi :nono::nono::nono::nono:
   
 4. z

  zawadi1 Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujuzeni plz
   
 5. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  ccm ni fekiiiiiii na wala rushwaaaa :A S angry:
   
 6. B

  Biro JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  inasikitisha sana, tutabaki nyuma mpaka basi!
   
 7. majonzi32

  majonzi32 Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 16, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ujio wake wa Morogoro mjini, ni kuonyesha kuwa amesini kuwa ameshinda au ameshindwa, na kama ameshinda bac angeweza furahia ushindi, na kama ameshindwa CCM wanashindwa kushangilia ushindi sababu wawechakachua....
   
 8. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa ukweli ni upi? Ukisema tu "Si kweli" bado hujaongea chochote. Ukweli ni upi? Usipinge kijinga.
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Heee ina maana mambo yamebadilika tena!!!:doh:
   
 10. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lete wewe basi huo ukweli mbona unapenda ku-challenge vitu wakata huna facts? shame on you!
   
 11. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama huna facts sio unaponda hoja za wenzako, USHAMBA huo!!!!!
   
 12. Catagena

  Catagena Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana ni kweli Prof Mlambiti ameanguka, na tofauti ya kura ilikuwa ndogo sana. Nampa pole sana mpiganaji yule, kwani kimsingi mimi nilikuwa natarajia mchango mkubwa kutoka kwake. I wish him all the best...
   
 13. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  NI KWELI PROF AMESHINDWA KWA TOFAUTI YA KURA 2813, TAYARI MKURUGENZI WA ULANGA MZEE LUANDA AMEMSHAMTANGAZA HADJI MPONDA. DHULUMA INAUMA LAKINI MAISHA YANATUTAKA TUENDELEE, TUTAFUTE MAENDELEO YETU PALE TULIPO NA TUKUTANE 2015.

  "Nikajiuliza ikiwa 1995-2005 opposition ngome yake ni mtimbira kwangu tatizo likawa ni malinyi, sasa ghafla malinyi ikajivika hadhi ya upinzani na kumkarimu prof.mlambiti, mlambiti ameongoza ktk tarafa za malinyi na ngoheranga, mtimbira ameongoza mponda na kule lupiro taarifa ni kuwa prof aliongoza, figures ni hizi : Hadji mponda 18627- prof.mlambiti 15814 tofauti ni kura 2813 alizozipata mtimbira"

  Ninamuomba prof aendeleze legacy yake ktk mageuzi ya kisiasa, amepata madiwani sita, Chadema 3 na TLP 3 huo ni mtaji ambao anapaswa kuundeleza hata kama 2015 hatagombea. Chadema wanapswa warudi kule hususan Dr.Slaa mwenyewe na wakuu, elimu ya uraia bado yahitajika sana na pia msasa ufanywe kwa madiwani hawa wa upinzani ili waonyeshe tofauti ndani ya halmashauri na ktk wards, natoa pole kwa Professa, Regia lakini ninawashukuru kwa kuwaonyesha njia Ulanga Kilombero, dada Regia sasa aifanye Ulanga-kilombero ndio Mlimani city yake, tupo pamoja tutawafikia wananchi mpaka kieleweke.
  Mungu ibariki Ulanga West-Kilombero.


   
 14. majonzi32

  majonzi32 Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 16, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Morogoro tumewaangusha wapiganaji wa haki wakitanzaia woote, tumeruhusu hali hiii, UCHAKACHUAJI mjini na vijijini........
   
 15. d

  dotto JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Unatupasha habari za CCM washirikina!!!
   
Loading...