duh.. :doh: kwani ni lazima uangalie au utoe maoni katika kila thread, kama unaona haijadili unachotaka unaweza kuipotezea tu mkuu. btw sio wote tuliopo humu tunajadili mustakabali wa taifa, wengine tupo humu kuondoa stress (especially those caused by that what u call "mustakabali wa taifa")We umetumwa nini?Wenzio tunajadili mustakabali wa taifa we unaleta masihara!
We umetumwa nini?Wenzio tunajadili mustakabali wa taifa we unaleta masihara!
Umeniacha hoi!Swali ni je Mama Salma naye ana affect mauzo ya nguo anazovaa?