Inasemekana nguo anazovaa zinanunuliwa sana: wa kwetu je?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,402
6,550
2-image.jpg3-image.jpg4-image.jpg5-image.jpg8-image.jpg10-image.jpg
 
Muache mtoto atese, mbona wazungu walikuwa wanatesa sana na ninani aliekuwa akiwalalamikia?
 
We umetumwa nini?Wenzio tunajadili mustakabali wa taifa we unaleta masihara!
duh.. :doh: kwani ni lazima uangalie au utoe maoni katika kila thread, kama unaona haijadili unachotaka unaweza kuipotezea tu mkuu. btw sio wote tuliopo humu tunajadili mustakabali wa taifa, wengine tupo humu kuondoa stress (especially those caused by that what u call "mustakabali wa taifa")
 
We umetumwa nini?Wenzio tunajadili mustakabali wa taifa we unaleta masihara!

Kwani hii forum ni ya Siasa au Uchaguzi? Kwanza wanashughulikia mustakhabali wa taifa letu kwa sasa ni wale wawakilishi wetu walio ndani ya Bunge na wala sio sisi!!!!!!!!!
 
kupendeza kwake na uzuri unachangia. asante kwa hizi picha na wote mnaotuma email za aina hii kwani sometimes zinatusaidia kupunguza stress. People are very Stressed!! Hata wale wanaoonekana kuwa ni leimani na wenyewe wamefumbuka macho na wamechoshwa na mambo yanavyoenda.
 
ni mrembo lakin sio kwamba ni extremely, ni kwasababu tu ni maarufu. Hapa bongo hii hii kuna watoto wakali mara 100 ya huyu bibie sema sasa nani anawajua au wana maisha gani??
 
safi ....
u knw kila mtu anaishi kwa uwezo wake....
kama mtu unauwezo wa kununua kiatu cha $600 vizuri....... na kama cha $10 safi pia....
watu wengine hawa spent hela nyingi na bado wanapendeza tu....
 
dats why wanasema america utajulikana kwa unachokivaa na si kwa pesa yako tu bali ni unaitumia je hiyo pesa
 
Back
Top Bottom