Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

IMG_8181.jpg

Nasikitika sana maana nakapenda haka katoto na Baba yake alipendekeza sisi wazee ndio awe na sisi, tulijitahidi kupeleka miwa kutoka ifakara lakini wapi na biashara ilikufa sasa basi ndio hivo
 
Afu nilishawahi kujiwazia kuwa ningekua mondi hiki kitoto nisingekiacha. Huenda mondi aliniskia
Hiki kitoto mbona cha kawaida tu??..Yaani hadi uwe Mondi ndo ule,umekuwa kiumbe dhalili sana kwa comment yako.

And it seems watu wanatapeliwa na filter za IG..ana kwa ana hawa watu ni wakawaida tena wanazidiwa na mademu kibao tu wasio mastaa.
 
kama wameamua kukataa shule kama yule wa kajala unategemea nini? lazima wakalie dyudyu tu hakuna namna babaake mwenyewe naye walewale tu analewa na kula vitoto vya wenzie na yeye acha wamtafunie , mla huliwa
 
She is not exceptional..mademu kama hawa wapo kibao tu mitaani..yaani sijaona point ya jamaa kuuvaa U-diamond ili aweze kupiga hapo.
Mimi nakuelewa sana unachokisema mkuu. Kwa maana nyingine ni kwamba hiki kidemu kama mfano hukijui na ukakutana nacho mtaani unakipita wala hata hugeuki maana hakina maajabu yoyote. In reality mademu wengi wenye majina bongo hii ni wa kawaida mnoo sema wanabebwa na umaarufu na make up/filters tu.
 
Duuh sasa chuo amemaliza, ajira hamna mziki ndiyo kazi yake,amepata wa kufanana nae.
 
kama wameamua kukataa shule kama yule wa kajala unategemea nini? lazima wakalie dyudyu tu hakuna namna babaake mwenyewe naye walewale tu analewa na kula vitoto vya wenzie na yeye acha wamtafunie , mla huliwa
Karen hajakataa shule amemaliza degree vizuri tu IFM pale...usimfananishe na kina paula...
Amelelewa vizuri na mamake..baada ya kumaliza chuo akaanza kuimba baba akaanza kumtafutia connection na ma star wabongo hapo ndio Mambo yalipoanza kuharibika...
 
Back
Top Bottom