Inasemekana kwamba unapomtongoza mwnanamke lazima uwe na mbinu za kumteka kinyume na hapo...........

hiyo siyo silaha yake anapretend tu, silaha ni ka mtu ana hela, handsome, ana cheo n.k
Kuna mtu humu alisema et kaambiwa kuwa hajui kuvaa, inamaana asipojifunza atapigwa chini, so siraha yake nikujifunza kuvaa ili mlimbwende aendelee kuwa nae.
 
Duu mbona siku hizi wanawake ndio wanatongoza wanaume? yaaani wanawake wanakupigia misele mpaka ,si unaujua wimbo wa mwanameka?:target:
 
hahahahahah chardams bana u cant see my weakness, a man doesnt need silaha 2 m if i like sm1 that is it, refer my first comment utanielewa zaid weakness yangu lol
hiyo siyo silaha yake anapretend tu, silaha ni ka mtu ana hela, handsome, ana cheo n.k[/QUOTE

i can see weakness yako iko wapi sasa. Aksante kwa kunijulisha
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah chardams bana u cant see my weakness, a man doesnt need silaha 2 m if i like sm1 that is it, refer my first comment utanielewa zaid weakness yangu lol

Kunna mtu humu alipost akisema kuwa watu wengi humu wanafanana na comment zao wanazo zitoa na kwa kigezo hicho nimeku judge.
 
kwani mapenzi ni vita jameni? just b u mie sioni logic ya mwanaume kujipanga na silaha eti anakwenda kumtongoza fulani...*

tru this dadake!napendaje haya makitu yanapotokea otomatikale!!!ikiwa sivyo basi mwambie tu unavyojisikia na sikilizia matokeo.kama negative jiulize kama waweza endelea kuwa rafiki nae au vipi..no kujipanga panga hapa as if waenda interview worl bank!
 
Inasemekana kwambaa unapokuwa unamtaka mwanamke alafu ukawa huna mbinu za kumvutia ni sawasawa na kwenda vitanibila silaha

Ni nini mtazamo wako?

wanawake wa sasa hawatongozwi...una onyesha tuu kuwa una mshiko...watajigonga gonga wenyewe
 
wanawake wa sasa hawatongozwi...una onyesha tuu kuwa una mshiko...watajigonga gonga wenyewe

Haya uyasemayo inawahusu mijibaba isiyojuwa kutongoza na hawa ndiyo wabaya zaidi kwa kusambaza ngoma na magonjwa mengine ya zinaa. Ni kweli mademu siku hizi hawatongozwi, wewe jifanyie vitu vyako tu bila kuwajali, lazima watatokea wanaokumaindi kuja kukuomba mtwango (ngono).
 
na sisi je ambao madem wanajigonga wenyewe na si ma hb wala watoa mikwanja tunawekwa kwenye kundi lipi,nikimtokea tu imo
 
Haya uyasemayo inawahusu mijibaba isiyojuwa kutongoza na hawa ndiyo wabaya zaidi kwa kusambaza ngoma na magonjwa mengine ya zinaa. Ni kweli mademu siku hizi hawatongozwi, wewe jifanyie vitu vyako tu bila kuwajali, lazima watatokea wanaokumaindi kuja kukuomba mtwango (ngono).

ah na ndio maana ngoma haitaisha...watu tunapenda kugegedana bwana
 
Back
Top Bottom