Inasemekana kwamba unapomtongoza mwnanamke lazima uwe na mbinu za kumteka kinyume na hapo...........

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,734
Inasemekana kwambaa unapokuwa unamtaka mwanamke alafu ukawa huna mbinu za kumvutia ni sawasawa na kwenda vitanibila silaha

Ni nini mtazamo wako?
 
There is an art of flirting, approaching etc...unaweza kuwa ni loser na bado ukamdate Miss World...ask watu8 bhanaaa lol
 
kwa uelewa wangu mdogo maeneo mengi tu huwa tunatakiwa kujieleza vizuri kwa ufasaha na sio kutongoza tu
 
unamtekaje? unampeleka mabwepande ama?

kumtongoza msichana ckuhizi ni kutaka kuchelewesha cku za kula mzigo no need kabisa, body language talk more, little words and actions in the room complete everythings
 
unamtekaje? unampeleka mabwepande ama?

kumtongoza msichana ckuhizi ni kutaka kuchelewesha cku za kula mzigo no need kabisa, body language talk more, little words and actions in the room complete everythings

Hizo sasa ndo mbinu ninazo ziongelea
 
inasemekana kwambaa unapokuwa unamtaka mwanamke alafu ukawa huna mbinu za kumvutia ni sawasawa na kwenda vitanibila silaha

ni nini mtazamo wako?


kwani hadi leo bado unatongoza??

No doubt that huna fwedhwa...!!

Pesa tuh ndiyo sabuni ya roho..
 
kwani mapenzi ni vita jameni? just b u mie sioni logic ya mwanaume kujipanga na silaha eti anakwenda kumtongoza fulani...*

Kuna mtu humu alisema et kaambiwa kuwa hajui kuvaa, inamaana asipojifunza atapigwa chini, so siraha yake nikujifunza kuvaa ili mlimbwende aendelee kuwa nae.
 
Back
Top Bottom