Inasemekana kuna wabunge 38 tu mjengoni jioni hii

mswaada wa sheria wa marekebisho ya sheria mbalimbali ndo wanaanza nayo. naona wanaulizwa kifungu cha tano kina marekebisho ya serikali kina malekebisho ya serikali kinaafikiwa?..Ndiyo. naona wameanza kuafiki na kutoafiki vifungu. mi ngoja nile kona. nawatakia bunge jema. alamsiki.
 
Hiyo yote inaonesha kuwa tanzania hii tunatakiwa tuwe na wabunge wasiozidi 50 tu.kwani hakuna kazi wanayoenda kufanya wakiwemo ndani ya bunge wanachapa usingizi katiba mpya jamaani majimbo yasizidi 50.viti maalumu hapana viti maalamu vya raisi hapana pia.
 
Back
Top Bottom