Inasemekana hii ndiyo orodha ya viongozi waliothibitisha kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Wazungu wana roho mbaya sana.. Angalia list hiyo utajua hakuna EU wala America wala Australia.. Wazungu wanawachukia waafrika sana.. Na sisi tuache kabisa kuwashobokea pink noses
 
MUGABE...REST IN PEACE uli ishi kweli yako na hukutetereka wala kuogopa na hatimae Umeenda kupumzika..Nenda Robert Nenda Robert...(in mpoto's voice)
 
Back
Top Bottom