Inasemekana asilimia 80% ya wanawake walio olewa hawatoshelezwi kimapenzi kwenye ndoa zao

kwanini hawatoshelezwi??????

Umesema hawatoshelezwi vilee??

Hapo unatutia lawamani sisi tunaotakiwa kuwatosheleza son; ungesema hawatosheki ndo ingekuwa wao as wao

Mapenzi na sanaa na sanaa haifanywi na kila mtu; sasa je wanaume wote ni wasanii tosha??
 
Mmmh hiyo avatar yako inaonyesha wazi wewe ni mmoja wa wasiotoshelezwa kimapenzi. Tatizo ni nini hadi hutosheki????
 
:eyebrows:nahisi mtoa mada hajaoa.ama bado teenager.upuuzi mtupu.
mtu na heshima yake awe mume/mke hawezi kutoa siri yake ya ndani kusema anatoshelezwa ama atoshelezwi
ndo mana wazee wa zamani walikuwa na unyago kwa wote.he/she bila kubagua.:hat:
Mkuu mbona unatokwa na povu? au wewendio wale miongoni mwa wale wanaume suruali dakika mbili tu kibamia kimeshanywea? maana sioni mantiki ya kusema hapa kuna siri wakati wengi we members hapa wanatumia fake name na fake Avatar!!
Au wewe mke wako akivaa anakwambiaga fumba macho nini!!

Back to topic kuwafikisha kileleni wanawake ni janga la Taifa kuliko wengi mnavyoweza kudhani, Niko na X girfriend ambaye ni shool mate wangu yaani hata ndoa yake sijui nitainusuru vipi kwa tatizo hilo hilo kwa mume wake, najaribu kuwa nae mbali lakini imeshindikana, nasikitika sana kwa mtu kama mimi kutembea na mke wa watu, no matter alikuwa mpenzi wangu wa awali.
 
@Matola, haina shida kutembea naye kwenda Kariakoo ila kukamua ni balaa tosha
 
Yaani hapo mara nyingi ni nature ya binadamu kutamani vitu ambavyo hana, sasa wanaume mara nyingi huwa na kimada au nyumba ndogo wamama wengine ndio wana mario's au vidumu.

So mara nyingi ni tamaa tu na sio kutoshelezeka na mapenzi
 
Je kwa upande wa wanawake?
 
@Matola, haina shida kutembea naye kwenda Kariakoo ila kukamua ni balaa tosha
Mkuu mimi nina huruma sana kwahiyo huwa sipendi kuwa karibu na mtu ambaye hana amani, so i can't let her down, to be honest demu hana kabisa feelings na mume wake na hayuko interested kabisa kufanya sex na mume wake, i don't like this situation because sipendi hii kitu itokee kwangu.
 
Wamekubuhu hao ndio maana hawatosheki, we mtu umeanza darasa la tano halafu unakuja kuolewa na miaka 30 utatosheka kweli?
 
Je kwa upande wa wanawake?

Kwa wanawake mara nyingi inachangiwa pia na tamaa mama anatamani kuwa kama couple fulani ambayo ipo kwenye isidingo........au amesikia kwa marafiki jinsi wanavyofanya mapenzi..
Ila mara nyingi watu wanakuwa wamechoka kufix wenza wao..........kama unavyojua kuna vitu wanaume wengine kuna vitu hawezi kufanya na mke wake ila kwa kimada kama kawa na wanawake hivyohivyo kidumu hakijali kitu kinatoa show ya kufa mtu mama anakuwa hawezi msahau.

After all kila mtu ana dark sexual desire zake..............
 
hawatosheki coz wanaume wengi hawatumii mbinu mbadala za kuwatosheleza. Wanaume kazi yao ni kupiga mihiru tu .
 
Ntamalizaje akati naambiwa ''rara nikurenge''
unaona mtu anakurukia kama anadive, kama kuna kanguo hukutoa unakuta kamechanika kama kamepigwa radi

acheni vibabaj vituweke mjini

labda nye hamwambii wanaume kuwa hamtosheki,bila hivo wataendelea kupiga mihuru
 
Ntamalizaje akati naambiwa ''rara nikurenge''
unaona mtu anakurukia kama anadive, kama kuna kanguo hukutoa unakuta kamechanika kama kamepigwa radi

acheni vibabaj vituweke mjini
unatakiwa umshike shati mpaka uridhike
 
1. Mtu anarudi kalewa chakari ntamshikaje
2. Anasafiri miezi kadhaa eti kisa yeye CEO
3. Una kimada ambaye anakunyonya nguvu zote, ntamalizaje
akilewa game ndo inaenda fresh we hujui,
Akisafiri kwa mda mrefu akirudi ana ukame balaa
ukigundua ana kimada na wewe kata mauno vizuri
 
hata ukiwaambia kuwa hawakufikishi bado ni kazi bure coz wengi wao ni kama kuku. Dakika chache tiari unaona wajerumani wanawasili
 
Back
Top Bottom