Inaonyesha kuna mkakati wa kuwabebesha lawama CHADEMA

UPUPU MTU MZIMA OVYOOOOOOOOOOO, KARAI KUU
MBOWE HACHOMOKI HII KESI YA MAUAJI NI YAKE TU
ATAKIONA CHA MTEMA KUNI
Nafikiri mkijadili jambo jadilini kwa utashi ns sio kwa kutukana na kuhisi mtu,wewe kama unaona ushahidi peleka ili mtuhumiwa akamatwe sio kuropoka tuu mtandaoni,fanya investigation when you come up with evidence deliver it for the action to be taken
 
UPUPU MTU MZIMA OVYOOOOOOOOOOO, KARAI KUU
MBOWE HACHOMOKI HII KESI YA MAUAJI NI YAKE TU
ATAKIONA CHA MTEMA KUNI
NI KWELI MBELE YA TAMAA ZA MADARAKA ZA CCM KILA KITU KINAWEZEKANA. TAMAA YA MADARAKA YA CCM NI HATARI HATA KWA USALAMA WAKE YENYEWE. BILA YA SHAKA HATA YULE KATIBU WA CHADEMA CCM WATAPANGA PROPAGANDA ALIJIUA MWENYEWE NA ITAKUBALIKA.
 
Mjinga. Hata mimi nisiye polisi. Lazima ningekamata. Kwani waliondamana Jana na panya Road tofauti yao nini. CHADEMA MNATAKA DAMU TANZANIA. NA WAVUTA BANGI WENGI MMO HUMU. SIKAI TANZANIAN LAKINI NACHUKIA SANA WAJINGA WASIOONA KINACHOENDELEA. MNAKAA MNAMWACHA MBOWE ASABABISHE FUJO. WAPIGWE POLISI NA JE HAYO MAWE UNADHANI NI MAJI. TZ SIO MAREKANI WATU WANAJIAMULIA TU NDO MANA KILA SIKU TUNASHUHUDIA MAUAJI YA KIJINGA. CHADEMA INAHUSIKA 100%. Unapoandamana bila kibali jioni. Watu usalama wao Wa majumbani. NANI asiyejua vibaka ndo Muda wao. Je hao walindwe na nani. Why sasa inakuwa Kama TZ hawafi Watu. Mkome kabisa nyie mnaotaka kutuletea umwagaji damu .tena Pumbavu tena na tena.
Chakubanga anakubaka au huwa unampa mwenyewe?

Jifunze kuandika, unaandika herufi kubwa kwani ni tangazo la mganga wa kienyeji kutoka Rukwa?! Mazafanta.
 
Hili la kumuua Binti Akwilima limewakwama. Njia mliyobaki nayo ni moja tu, kuwabambikizia waandamanaji kwamba wao ndo walibeba bunduki na wakashambulia daladala. Ujinga! Mtakachosahau ni kuwa kama Chadema wangelikuwa na mbeba bunduki, angeliwatungua askari polisi, siyo daladala.

mr mkiki
 
Maandamano hayakwepeki awamu hii. wajiandae kuua tena na kubambikia watu kesi.

Hapana. Kuandamana kipindi hichi ni sawa na ku commit suicide (kujiondoa uhai mwenyewe). Tunapita kipindi cha watu wasio na ustaharabu, utu wala huruma. Maandamano yanakuwa na maana kama anayeandamaniwa ni mtu mwenye busara.

Kuandamana dhidhi ya wababe wanaokimbilia silaha za moto hakuna sababu. Hata wanaomlaani Mbowe kwa kutotuoa amri tofauti, wanamionea bure. Yeye kashaona.
 
Nimeona niwajibu wale ambao kwa makusudi wanataka kuibebesha CHADEMA mzigo wa mauaji ya marehemu Aquilina.

Askari wanatakiwa kupata mafunzo ya kulinda amani bila kuwadhuru raia wema. Kwa mfano, kama ujambazi umetokea mtaani askari hawawezi kufyatua risasi hovyo na kudhuru wasio na hatia halafu wakatoa kisingizio eti majambazi ndio wakulaumiwa.
 
hakuna anayejaribu kuwabebesha Chadema Lawama....ila mazingira ya tukio yanapelekea hivyo.....kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa mpaka sasa wale polisi wameshakamatwa na ni sahihi kwako kukamatwa na wahojiwe kwanini walitumia silaha za moto.......na je huyo binti walimuua kwa bahati mbaya au ilikuwa makusudi.....ila lazima aliyeanzisha maandamano naye ahojiwe....kulikuwa na strong reasons zipi za kufanya hayo maandamano???? sheria ni msumeno
vip kuhusu ile sababu ya iliyosababisha maandamano?!! Je kweli walicheleweshewa?!! Na kwa nini?!!
 
vip kuhusu ile sababu ya iliyosababisha maandamano?!! Je kweli walicheleweshewa?!! Na kwa nini?!!

Tabia ya kusema huyu ni mwenzetu kwa hiyo asisemwe hadharani inazidi kuota mizizi ndani ya chadema. Ni jambo la kusikitisha sana kwamba mtu akiwa mwanachadema hata akitenda maovu chama kitamlinda kwa nguvu zote na kumtetea.

Hii tabia ilikomaa kipindi kile mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda akitaja wauza madawa ya kulevya. Walitajwa wa vyama vyote lakini alipotajwa Mbowe chama badala ya kumwajibisha kikaanza kumlinda na kumtetea!!!

Ikaja kwenye mashamba pori , wengi wamenyang'anywa na kurejeshwa serikakini lakini waliponyang'anywa viongozi wa chadema(Sumaye) chama badala ya kumwajibisha sasa kinamtetea eti ameonewa!!

Jana tena Freeman Mbowe ameitisha maandamano yasiyo na kibali tena yanayoanza saa 12 jioni kuelekea ofisi ya mkurugenzi , matokeo yake vurugu zikatokea barabarani na kupelekea mabasi kupigwa mawe na hatimaye mwanafunzi asiye na hatia kupoteza maisha kwa kupigwa risasi.

Ukweli ni kwamba bila Mbowe kuitisha maandamano haya mauaji yasingetokea, lakini pamoja na ukweli wote huu kuwa wazi bado wafuasi wa chadema wanamkingia kifua na kumtetea Mbowe badala ya kumtaka awajibike kutokana na uovu alioufanya!!

Mara nyingi pia tumekuwa tukiona mtu anaitwa mwizi na fisadi akiwa chama kingine lakini fisadi huyo akihamia chadema ghafla anasafishwa na kuanza kulindwa kwa nguvu zote na wanachadema!!

Kama sasa hivi hamjashika dola mnalindana namna hii mkishika uongozi wa nchi itakuwaje??

Si watu wataiba hadharani na kukimbilia kuchukua kadi ya chadema ili watetewe?

Tabia hii haikubaliki na ni mwendawazimu tu wa kushabikia tabia ya kusitiriana maovu namna hii.
 
Utakuwa na tatizo kubwa kuliko la kupungukiwa.

Hivi uovu wa aliyezuia nakala za viapo na kuamua kuwapa CCM huuoni au umeamua kuishi kwa kutotumia akili ambayo Mungu amekupatia? Kulikuwa na sababu gani kuzuia nakala za viapo kwa mawakala wa vyama vya upinzani na kuwapa mawakala wa CCM? Kama mkurugenzi angetimiza wajibu wake kama sheria inavyotaka, hao walioandamana wangeandamana kufuata nini?

Mhalifu mkuu anayestahili lawama zote ni aliyemteua huyo mkurugenzi. Mkurugenzi asingeweza kuufanya upumba.vu ule bila ridhaa ya aliyemteua. Na kama angefanya vile kwa maamuzi yake, wakati kukiwa na malalamiko kwa siku nyingi kuwa amegoma kuwapa nakala ya viapo wapinzani lakini akawapa wa CCM siku hiyo hiyo walipoapa, neno moja tu la mteule wake lingetosha kumfanya atoe hizo nakala.

Kwa hiyo huo uharamia lazima ulikuwa na baraka ya aliyemteua, ulikuwa na baraka ya uongozi wa CCM Taifa na mkoa, na ulikuwa na baraka za mkuu wa mkoa. Watu wanaangalia chini hawataki kuangalia kule ambako maagizo yanatoka.
 
Polis tizameni kama alieanzisha maandamano kua alikuanakibali na kama hakuna basi tujue na ilikuamda unaluhusu mambomawili mtuambie siokutuhumu jeshi na selekalibule na walionama kosawapo naona watu wanazuguka namatusi kejeli hazifai wakati kilamtu analindwa na jeshi na selekaliyake
 
Back
Top Bottom