INAONEKANA SUMU ALIYOPEWA BABALI BADO IPO. Nani anaitunza, nani atafuata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

INAONEKANA SUMU ALIYOPEWA BABALI BADO IPO. Nani anaitunza, nani atafuata?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bongolander, Dec 28, 2011.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Inaonekana kuwa sumu aliyopewa balali na mfanyabiashara mwenye asili ya Asia, inawezekana kuwa ni ileile aliyowekewa Mwakyembe, kama ni hivyo basi bado ipo kwenye ghala. Nani atafuata? tutegemee wengine kuelekea 2015?
   
Loading...