Inaonekana kuwa hakuna mwana jf mwingine zaid ya reyro aliye chaguliwa mzumbe....

REYRO

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
968
244
Natarajia kupiga baf mzumbe ila cjaona mwana jf yeyote wa mzumbe!jamani kama upo jitokeze nikujue !!!!!!!!!!!!!!!
 
Dogo acha utoto!umejuaje kama hakuna mwana JF hata mmoja aliyechaguliwa zaidi yako ilihali watu wengi(ukiwamo na wewe mwenyewe) wanatumia anonymous names?
 
Toka zimeanza hizi selection za vyuo ndio nimegundua kwa nini jf siku hizi kuna thread zinaanzishwa za hovyohovyo kumbe wengi ni teenagers mlikua mnasubir matokeo!had mnanatumia lugha zenu za ki fb humu!msidhani kila mtu humu ni wa kusoma sometimes mnawajibu vibaya baba zenu
 
Wapo wengi sema hawapendi kujioneshaonesha ka we ni mmoja wapo hongera ,tutakutana na hiyo kauli ya kuwa huko peke yako hebu badili angalau ungesema unataka kuwafahamu wenzio .
 
Thread yako ya kwanza nmepotezea, ya pili pia but ya tatu tena afu hamna la maana unaloandika. Take care unakoenda ww
 
Back
Top Bottom