bulldoza
Senior Member
- Sep 28, 2011
- 133
- 42
Salaam wanajf wenzangu wote..
Lord have mercy…..
Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena.
Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na kukuwekea kinywani mwako ..nilikuona mrembo sana na usiye na hatia sikujua ndani ya urembo wako ulificha makucha ambayo yangeniparua siku zijazo..
Inaniumiza jamani..na sasa naelewa kwanini wanasema mwanamke mrembo ni wa kuchezewa na wanaume wengine…ee bwana naumia sana jamani.