Inaniuma kumpa talaka....

bulldoza

Senior Member
Sep 28, 2011
133
42
Salaam wanajf wenzangu wote..

Lord have mercy…..

Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema
Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena.

Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na kukuwekea kinywani mwako ..nilikuona mrembo sana na usiye na hatia sikujua ndani ya urembo wako ulificha makucha ambayo yangeniparua siku zijazo..

Inaniumiza jamani..na sasa naelewa kwanini wanasema mwanamke mrembo ni wa kuchezewa na wanaume wengine…ee bwana naumia sana jamani.
 
Aisee Pole sana
Maneno ya "Lucky Dube" katika "Its not Easy"
 
Nakumbuka siku niliyompigia simu mama, Nikamwambia mama nataka kuoa
Nilisikia sauti yake upande wa pili wa simu akitabasamu na akaniuliza swali nililojibu kwa kujiamini
Alisema mwanangu umemchunguza vya kutosha,nikajibu mama ni anaubora kupitiliza
Lakini leo inaniuma mno kumweleza mama yangu kuwa nataka nimpe talaka ooh tutalakiane
 
Mwambie tu atakuelewa. Kama una sababu za kweli kabisa mwambie tu. Kama umejaribu kumrekebisha harekebishiki, chukua maamuzi magumu kwa faida yako.
 
Nakumbuka siku niliyompigia simu mama, Nikamwambia mama nataka kuoa
Nilisikia sauti yake upande wa pili wa simu akitabasamu na akaniuliza swali nililojibu kwa kujiamini
Alisema mwanangu umemchunguza vya kutosha,nikajibu mama ni anaubora kupitiliza
Lakini leo inaniuma mno kumweleza mama yangu kuwa nataka nimpe talaka ooh tutalakiane
Sio rahisi sana kuelewa kijana
Lakini ninaamini utafanikiwa
na kua na furaha yako tena!
 
Nakumbuka siku niliyompigia simu mama, Nikamwambia mama nataka kuoaNilisikia sauti yake upande wa pili wa simu akitabasamu na akaniuliza swali nililojibu kwa kujiaminiAlisema mwanangu umemchunguza vya kutosha,nikajibu mama ni anaubora kupitilizaLakini leo inaniuma mno kumweleza mama yangu kuwa nataka nimpe talaka ooh tutalakiane
!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka bulldoza pole sana, ila kama umemshindwa ni bora ukamtaarifu tu mama yako cz si vizuri ukafanya hiyo kitu kimyakimya.
 
Salaam wanajf wenzangu wote..

Lord have mercy…..

Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema
Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena.

Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na kukuwekea kinywani mwako ..nilikuona mrembo sana na usiye na hatia sikujua ndani ya urembo wako ulificha makucha ambayo yangeniparua siku zijazo..

Inaniumiza jamani..na sasa naelewa kwanini wanasema mwanamke mrembo ni wa kuchezewa na wanaume wengine…ee bwana naumia sana jamani.

Ungemalizia kabisa wimbo wenyewe huu hapa. Huwa nasiki burudani ya kweli moyoni.

It's not easy

I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama I'm getting married
I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said son did you take time to know her
I said mama she's the best
But today it hurts me so
To go back to mama and say mama I
'm getting divorced
Oh I'm getting divorced

This choice I made didn't work out the way I thought it would (x2) it hurts me so mama

mama said to me

Chorus:
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it (x3)
You'll be happy again

I remember in church
When the preacher read the scriptures
You looked so beautiful and innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colors that will destroy me in the near future

This choice I made didn't work out the way I thought it would be (x2)
Now I'm hurting

I remember when I held you
By the hand preacherman read the scriptures
Putting words in you mouth

Maybe what the preacherman said was not something that was with you
Now I know what they mean when they say

Beautiful woman is another man's plaything
Oh Lord I'm hurting now

this choice I made didn't work out the way I thought it would
Mama said to me

Chorus (till fade) It's not easy.
 
Hivi hiyo tabia mbaya ni tabia gani isiyo onywa,

umesema umefunga ndoa kanisani,

ushapeleka malalamiko kwa wasimamizi wa ndoa,

kwa Mchungaji/Padri

Na mshenga je?

Fuata utaratibu ikishindakana toa maamuzi, ila mama yako ni lazima ajue kinachoendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom