Inanitatiza kidogo tuzo ya barnaba..mwimbaji bora wa kiume!!

Mukhsin

Member
Jan 1, 2011
8
0
Ingeleta mantiki endapo barnaba angechukua tuzo nyingine kumfanya awe mwimbaji bora wa kiume...kwa mfano kuchukua wimbo bora wa mwaka nk...hata hivyo pongezi tuzo zilifana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom