Inaniboa kuona Kuwa Nyani Ngabu Hayupo Uwanjani Tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaniboa kuona Kuwa Nyani Ngabu Hayupo Uwanjani Tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Oct 3, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Nyani Ngabu alikuwa boara mzuri sana ambaye nilikuwa sikosi kupitia post zake hata kama niko bize namna gani ingawa alikuwa akitoa pumba nyingi sana. Inaniboa sana siku hizi kuwa hakuna Nyani Ngabu tena, nasikia kuwa kuna kitu kinajiita Julius kimechukua nafasi ya Nyani Ngabu. Sipendi kabisa hii kitu inaitwa Julius, ninataka Nyani orijino sasa hivi.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  duuuu hii ni thread ya pili unamzungumzia mtu mmoja

  were u in love with him???????
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  No, hii double posting kwa sababu niliona kama computer imfreeze. Nikakopi message na kupost tena. Ila nimeshaifuta baada ya kuona imejirudia.

  Nyani alikuwa ni mmoja wa maboara wazuri sana hapa kwa pumba enzi hizo.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  maboara????what does that mean????????
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Unamtaka nani zaidi ya Julius?
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Acha bana...........!
   
 7. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 451
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Kichuguu, labda Avatar na jina la nyani ngabu vilikuwa havioani, maana kale ka-Avatar,, kako more innocent zaidi ya unyani ngabu wenyewe
   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hiyo!

  Mkuu kichuguu, wengi hapa wanatumia a.ka.a lakini baadaye wakijulikana huamua kutumia majina yao halisi. Tutafurahi siku moja tukawajua akina wako nyuma ya hizi identity kama Kakalende, Kichuguu, etc.
   
 9. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nyani ngabu was a small fish in a big pond,he could not handle the big fishes hence so,the sharks have devoured him
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Oct 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,866
  Trophy Points: 280
  Shut up
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jamani amelazimika kubadili jina baada ya kumpokea bwana
   
 12. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yumo humu humu.....badili miwani tu, utamuona.....
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Oct 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,866
  Trophy Points: 280
  Nyambaaaf wewe sijampokea bwana wala bibi
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Oct 4, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Sasa kilitokea nini; mimi nilizoewa Nyani Ngabu pamoja na kale kagitaa kake
   
 15. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,319
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  For whatever reason, dude became kinda laid-back in style and more reflected after name change (which is a darn good thing as far as I'm concerned)
   
 16. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Julius rudisha jina lako la mwanzo,wenzako tunalihitaji!!!!!!
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Aleluya, bwana asifiwe sana
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Bwana hawezi kufiwa kabisa....
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Oct 5, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,866
  Trophy Points: 280
  Hmmm..Sugar, I wonder what you taste like? Lol

  Invisible naona hanipendi maana nimemtumia ombi la kumrudisha NN lakini kanichunia. Aaaah pouwa tu maisha yataendelea
   
 20. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nyani ngabu ana akili gani...ali Kuwepo a man calle GIGO
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...