Inamaana hawa hawana mgao wa umeme ????

Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
44
Jana baada ya kutoka kwenye kuwajibika as usual nikafika zangu home kama kawaida umeme ukawa umekatika. Baada ya umeme kurudi basi nikakumbuka nilinunua gazeti la Mwananchi. Katika kupitia kurasa kwa kurasa, ndio nikakutana na hili tangazo la TANESCO. Sasa nikajiuliza, inamaana huu mgao tunaoulalamikia kila siku umeme haupo mchana na usiku, hawa jamaa hauwahusu ??


:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 

Attachments

  • TATIZO LA UMEME.JPG
    TATIZO LA UMEME.JPG
    267.8 KB · Views: 46
Ndiyo maana wanawaza mitambo ya kukodi kila siku!hawataki solution ya kudumu!
 
Back
Top Bottom