Inakwenda wapi mipesa hii!?

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
Kuna pesa nyingi ambazo zanatolewa na Wasukuma wengi hapa MLIMBA mkoani MOROGORO-KILOMBERO, kama faini kupitia agizo lililowataka watoe ng'ombe ambazo zilionekana ni kero na uharibf wa mazngira, wasukuma hao wametozwa pesa nying sana wapo waliotoa had milion 54,chin ya police na mgambo pia watu waliodaiwa kutoka wilayani.je pesa hz znakwenda WAPI?
 
Lini,
mlimba kubwa, wp kimsingi!

Ndugu changia au acha kuchangia hoja...mlimba ina ukubwa kiasi gani? Madudu yanaendelea huko wilayani lakini watu wanaangalia tu. Kama ww unakujua huko unataka kusema hujawaw sikia uhamisho wa hawa jamaa wasukuma ulivyokua wa magumashi? Wangap wameondoka?kama sio danganya toto tu?
 
Back
Top Bottom