Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,886
- 4,283
Wengine hawana kipawa Cha kufundisha hilo SoMo sema njaa tuu ndiyo inawalazimu wabebe jukumu la kufundisha hilo SoMo matokeo yake wanafunzi hawawaelewi
Tangulia dukani kwa mangi bwashee,kachukue chochote uachokitaka nakuja kulipa. Naona wale wabishi wa vijiweni watakuwa wameshaelewa vizuri ufafanuzi uliotoa.Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)
Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
daah afdhali umekua muwazi mkuubila samahan mm na hesabu hatupatan kabisa adui yangu no 1 huyo
Upo sahihi mkuu, Mathematics by itself is just a foundation it does nothing. Ila sasa hayo masomo yanayoaply Hesabu lazima uombe poo.Shukrani mkuu hua naamini kuwa PHYSICS ndio mziki mnene mara tatu ya Mathematics waliosoma A level PCM, PGM na PCB wanalijua hili Hahahaa.
Aisee, kumbe hadi high school kuna basic mathematics!!Nakumbuka nilipokua highschool wanafunzi wa PCB walikua hawapendi basic mathematics. Halikua major subject kwao. Hawakutakiwa kufaulu sana, mradi tu asipate F. Ilikua those times 1990s sijui kwa sasa.
Ubongo one way trafficKwa hiyo wakijibu maugoro wapewe tu maksi? Nani kakuambia mitego ya pysics na ya hesabu zinafanana wee kilaza?
Swali la pysics huwa lina sehemu mbili sehemu ya kwanza ni maelezo ya theory kama archimedes principle, Newton laws ,faradays law etc na sehemu ya pili huwa ni calculation ambazo ni simple zinazoendana na principle uliyoitaja.
Hutokea na mara nyingi ndivyo ilivyo mtu akawa amemeza principles zote na akazipata akijumuisha na baadhi ya calculations ambazo ni simple akama ukutafuta upthrust , mechanical advantage , velocity au voltage mtu anatoboa
Lakini hesabu mfumo wake ni tofauti huwa ni viswali ambavyo ni application ya formular fulani ambavyo wanategea vimitego fulani hivyo kama huijui ku derive formula husika au ubongo wako ni one way traffic na sio MULT SECTORAL unaingia chaka na kulikosa swali zima
Hii ina ukweli mkuu, nakumbuka kipindi niko form three aliletwa mwal wa physics skuli aisee yule mwamba alikua haeleweki kabisa, alifanya phys kua ngumu hatari.Mimi nilifaulu chemistry hesabu nikapata fa fa fa, mara nyingi waalimu wahesabu huwa hawajui kufundisha tofauti na walimu wa physics na chemistry
walimu wenyewe wa hesabu wengi vilazaHii ina ukweli mkuu, nakumbuka kipindi niko form three aliletwa mwal wa physics skuli aisee yule mwamba alikua haeleweki kabisa, alifanya phys kua ngumu hatari.
Lakini hiyohiyo form three mwishon akaletwa mwingine baada ya yule kusepa, huyu wa sasa alikua anaeleweka na akatupiga brush zile topics za yule mwamba, mpaka mnaona mbna km somo rahisi hivi kwani ilikuaje.
Kuna shida mahali kuhusu walimu wa hesabu.
Those years, 1990s, sijui siku hizi.Aisee, kumbe hadi high school kuna basic mathematics!!
Haswaaa!!! Yaani kwa mtu anayekariri leo utamsovia swali lenye squire root vizuri na atasema amelielewa, Ila kesho kwenye mtihani akikutana na cube root tayari chali haelewi tena.Hesabu hainaga kukariri shida inaanzia hapo hesabu unatakiwa kuielewa na kutumia akili maana ukibadilishiwa kidogo tu hujui hata unaanzia wapi
Umesema yoteMkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)
Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa