cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,324
Nilichukia hesabu mwalimu alikuwa mkorofi alikuwa anashusha vipindo heavy sana na hivi wavulana walikuwa wakorofi Yani ikifika siku ya kipindi chake nakonda kwa mawazo ila chemistry, biology nilikuwa nafaulu hatari ila vile hesabu na huyo teacher nika focus tu na arts yangu sikutaka kujichoshaUnashindwaje kupata hata D . Au uliamka vibaya siku ya paper?