Hesabu walimu wazuri ni wanafunzi kuliko walimu wenyewe maana wengi wanafundisha kisifa sio mwfunz kuelewaInakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliiiView attachment 2083593
Mbona hata hiyo physics wamefeli?Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliiiView attachment 2083593
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliiiView attachment 2083593
Mimi nilifaulu chemistry hesabu nikapata fa fa fa, mara nyingi waalimu wahesabu huwa hawajui kufundisha tofauti na walimu wa physics na chemistry
Sahivi mbna wanafunzi wote hawaachi masomo. Wanasoma yote.Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)
Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
bila samahan mm na hesabu hatupatan kabisa adui yangu no 1 huyoMkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)
Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
Unashindwaje kupata hata D 😂😂. Au uliamka vibaya siku ya paper?Mimi nilifaulu chemistry hesabu nikapata fa fa fa, mara nyingi waalimu wahesabu huwa hawajui kufundisha tofauti na walimu wa physics na chemistry