Inakuwaje wanafunzi wanafeli hesabu wanafaulu physics na chemistry

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,774
2,000
Unashindwaje kupata hata D . Au uliamka vibaya siku ya paper?
Nilichukia hesabu mwalimu alikuwa mkorofi alikuwa anashusha vipindo heavy sana na hivi wavulana walikuwa wakorofi Yani ikifika siku ya kipindi chake nakonda kwa mawazo ila chemistry, biology nilikuwa nafaulu hatari ila vile hesabu na huyo teacher nika focus tu na arts yangu sikutaka kujichosha
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,733

Hivi arts kwa kiswahili ni Sanaa?
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,774
2,000
Ulikuwa wafanya mazoezi ya hesabu masaa mangapi kwa siku
Nilikuwa sijichoshi mkuu kabisa ingawa hesabu ni SoMo rahisi kuliko yote ila lilinitoka tu moyoni Yani, na unfortunately hesabu haikimbiwi kila corner iko
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,665
2,000
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliii View attachment 2083593
Hapo lazima kuna namna,,,
Miaka 40 nyuma tulikua tunamaliza primary,, basi watoto wa wakubwa kama kesho yake mtihani, usiku tukakusanyika kwa kibosile fulani kusubiri mtihani uje,
Ubaya siku ile haukuja,, nilifell vibaya sana
 
lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,388

Duh
 
masaduku

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
804
1,000
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliii View attachment 2083593
Nilishangazwa na mtoto wa masomo ya arts nilimwambia afanye na biolojia akafaulu na kuanguka some la biashara. Sasa nilipomdadisi kumbe hana hata maabra walifanya mtihani wa vitendo bila mabarsa yaani ya kupewa maelezo na unajibu .ni kitu gani nk
 
lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,388
2,000
Nilishangazwa na mtoto wa masomo ya arts nilimwambia afanye na biolojia akafaulu na kuanguka some la biashara. Sasa nilipomdadisi kumbe hana hata maabra walifanya mtihani wa vitendo bila mabarsa yaani ya kupewa maelezo na unajibu .ni kitu gani nk
Dadekiii
 
lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,388
2,000
Mi naona kwasabu masomo mengine yana maekez unaweza kukariri tofauti na hesabu paper nzima n hesab No even a definition
Hesabu hainaga kukariri shida inaanzia hapo hesabu unatakiwa kuielewa na kutumia akili maana ukibadilishiwa kidogo tu hujui hata unaanzia wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom