Inakuwaje wanafunzi wanafeli hesabu wanafaulu physics na chemistry

Sababu kubwa ya kufeli ni waalimu wengi wa hesabu kudhani ukali ndio kuwaelewesha wanafunzi. Matokeo yakr wanafunzi huishia kuwaogopa na hivo kuondoa umakini wakati wa kufundishwa. Hata shule zenye waalimu wa hesabu bado ufaulu hauridhishi hivyo sababu ya uchache wa waalimu haiwezi kuwa na uzito kusudiwa.
walimu changamoto kwa kwel
 
Walimu wa hesabu ni walimu wa ajabu kati ya waliowahi kunifundisha. Ukitaka kujua hilo fikiria walimu wako wa hesabu ambavyo hawakuwa na maendeleo kuliko walimu wa masomo mengine
Teacher wa hesabu ana tukaririsha vile alivyokariri yeye
 
Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)

Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
Thread closed....
 
Chemistry ni kubalance eguation na physics ni mambo ya theory wanapambana nayo. Hesabu yenyewe wanaipiga chini.
wanafunzi wengi wao wanasoma hesabu kwa sababu n lazima na wengi husoma ili wasipate fa fa fa
 
ukipata D hesabu mbona wewe mwamba aisee
Hesabu ni somo rahisi sana kuliko watu wengi wanavyodhani. Nadhani changamoto kubwa hasa hapa kwetu Tanzania ni waalimu. Waalimu wengi wa hesabu sio wazuri. Na mara nyingi wataalam wa hesabu huwa hawaendi kuwa waalimu bali huishia kwenye fani nyingine kama engineering n.k

Kitu kingine ni prejudice dhidi ya hilo somo. Yani unakuta mtu hajaanza kusoma lakini tayari kichwani ameshajiwekea kuwa hataweza hesabu. Unafikiri kitatokea nini kama unafanya kitu ambacho akilini mwako ulishakubali kuwa hautakiweza? Lazima ushindwe.

Hesabu ni rahisi tu tena kuna masomo magumu sana kama Kiswahili.
 
Kwa hiyo wakijibu maugoro wapewe tu maksi? Nani kakuambia mitego ya pysics na ya hesabu zinafanana wee kilaza?

Swali la pysics huwa lina sehemu mbili sehemu ya kwanza ni maelezo ya theory kama archimedes principle, Newton laws ,faradays law etc na sehemu ya pili huwa ni calculation ambazo ni simple zinazoendana na principle uliyoitaja.

Hutokea na mara nyingi ndivyo ilivyo mtu akawa amemeza principles zote na akazipata akijumuisha na baadhi ya calculations ambazo ni simple akama ukutafuta upthrust , mechanical advantage , velocity au voltage mtu anatoboa

Lakini hesabu mfumo wake ni tofauti huwa ni viswali ambavyo ni application ya formular fulani ambavyo wanategea vimitego fulani hivyo kama huijui ku derive formula husika au ubongo wako ni one way traffic na sio MULT SECTORAL unaingia chaka na kulikosa swali zima
 
Hesabu ni somo rahisi sana kuliko watu wengi wanavyodhani. Nadhani changamoto kubwa hasa hapa kwetu Tanzania ni waalimu. Waalimu wengi wa hesabu sio wazuri. Na mara nyingi wataalam wa hesabu huwa hawaendi kuwa waalimu bali huishia kwenye fani nyingine kama engineering n.k

Kitu kingine ni prejudice dhidi ya hilo somo. Yani unakuta mtu hajaanza kusoma lakini tayari kichwani ameshajiwekea kuwa hataweza hesabu. Unafikiri kitatokea nini kama unafanta kitu aambacho akilini mwako ulishakubali kuwa hautakiweza? Lazima ushindwe.

Hesabu ni rahisi tu tena kuna masomo magumu sana kama Kiswahili.
kuja kuibadilisha hiyo mentality itachukua mda sana

lakin kiswahili walivyotusua
 
Kwa hiyo wakijibu maugoro wapewe tu maksi? Nani kakuambia mitego ya pysics na ya hesabu zinafanana wee kilaza?

Swali la pysics huwa lina sehemu mbili sehemu ya kwanza ni maelezo ya theory kama archimedes principle, Newton laws ,faradays law etc na sehemu ya pili huwa ni calculation ambazo ni simple zinazoendana na principle uliyoitaja.

Hutokea na mara nyingi ndivyo ilivyo mtu akawa amemeza principles zote na akazipata akijumuisha na baadhi ya calculations ambazo ni simple akama ukutafuta upthrust , mechanical advantage , velocity au voltage mtu anatoboa

Lakini hesabu mfumo wake ni tofauti huwa ni viswali ambavyo ni application ya formular fulani ambavyo wanategea vimitego fulani hivyo kama huijui ku derive formula husika au ubongo wako ni one way traffic na sio MULT SECTORAL unaingia chaka na kulikosa swali zima
Mathematics itabak tu kuwa mathematics
 
Kwanza unatakiwa ujue hesabu kwa o level ni ya wote, uwe mchepuko wa sayansi, arts ama biashara, sasa chemistry physics ni kwa wale waliochagua(walioipenda wenyewe) kifupi anaijua, hapo unawakuta wengi kwenye arts kucheza na namba ni n'duhu.

Mtu akishakuwa anaweza kupiga C ya hesabu shule zetu hizi wanamshauri aende sayansi huko, hivyo arts ni D na F za kumwaga.
 
Arts lukumba lukumba
 
Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)

Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
Kuna practicals pia zinawasaidia Sana.Hesabu haina hizo
 
Mimi nilifaulu chemistry hesabu nikapata fa fa fa, mara nyingi waalimu wahesabu huwa hawajui kufundisha tofauti na walimu wa physics na chemistry
Ulikuwa wafanya mazoezi ya hesabu masaa mangapi kwa siku
 
Kwenye pepa la necta BASIC MATHEMATICS nilipata A, ADDITIONAL MATHEMATICS nilipata B na wala hakuna umwamba wowote ule ni mambo ya kawaida Kama upo kwenye shule nzuri.
duh hongera mkuu wengine tulikuwa tunachezea namba za viatu
 
Back
Top Bottom