Inakuwaje Wahindi watalamu wa Management wanakuwa wachawi?

Huwa nikiwaza wahindi nafikiria ni kweli Biashara bila uchawi haiendi kabisa, Wahindi ni watalamu wa Management na pia wana spirt ya biashara. Lakini lipo kuja swala la Uchawi kwenye biashara jamaa ni balaaa, hawa wana matambiko mpaka basi.

Sasa kama wako vyema kwenye Management, wako vyema kwenye Skills za Biashara Uchawi wa nini?

Kwa tulio karibu nao tunajua haya ya Makafara yao ya kuchinja Mbuzi au Ng'ombe.

Je, ni kweli bila Uchawi Biashara haziendi?
Ulimwengu hatujauunda sisi tumezaliwa tumeukuta .jiulize mawingu na mabarafu yanayogeuka mvua vinashikiliwa na nini lakini nyumba yenu umeweka ngu 20 ili paa likae. Nakukumbusha tu sadaka kubwa kabisa katika ibada zote ni damu.
 
Lakini si kwa matambiko, ni elimu, ujuzi na bidii ya kazi pamoja na uzalendo.

Hebu wewe jiulize Mo Dewji kazaliwa Singida lakini hajui kinyaturu wala kinyiramba lkn Kihindi na Kiingereza anataririka kiswahili anabahatisha.

Kuna elimu sisi tumeikosa ambayo wenzetu Ulaya na kwingineko duniani wanayo sisi tumefichwa. Inawafungua vichwa sana.

Kumbuka alichotaka kukifanya Magufuli kubadili mitaala ya elimu, kuhimiza uzalendo na lugha. Huyu jamaa ndio alikuwa anatupeleka kwenyewe hasa kwenye ukombozi halisi. Yaanu ukombozi wa kifikira.

Mhindi anajua ni mhindi na thamani yake ni ipi popote atakapokuwa.
Ulikuwa na point sana lakini ulipomuhusisha jiwe ndipo ulipokosea, yaani unaamimi kwenye kupewa na maarifa na mtu feki? Kila kitu chake ni utata tu kuanzia elimu mpaka uraia.
 
Huwa nikiwaza wahindi nafikiria ni kweli Biashara bila uchawi haiendi kabisa, Wahindi ni watalamu wa Management na pia wana spirt ya biashara. Lakini lipo kuja swala la Uchawi kwenye biashara jamaa ni balaaa, hawa wana matambiko mpaka basi.

Sasa kama wako vyema kwenye Management, wako vyema kwenye Skills za Biashara Uchawi wa nini?

Kwa tulio karibu nao tunajua haya ya Makafara yao ya kuchinja Mbuzi au Ng'ombe.

Je, ni kweli bila Uchawi Biashara haziendi?
Ni watu wa tunguli sana,kuna mmoja yupo kwenye kiwanda kikubwa hapa nchini vijana walimuendea kwa mganga wakaqmbiw ni mtu hatari
 
Ulikuwa na point sana lakini ulipomuhusisha jiwe ndipo ulipokosea, yaani unaamimi kwenye kupewa na maarifa na mtu feki? Kila kitu chake ni utata tu kuanzia elimu mpaka uraia.
Ni kwa akili yako waweza kusema. Asemacho mtu ndicho awazacho na una haki ya kunena kwani ndicho unawaza. Ukweli utabaki ukweli hata kama utapingwa.

Alichotaka kukifanya Magufuli ni total liberation ya watoto wetu. Ikiwa haujapata uhuru wa akili wewe ni mtumwa na hakuna utumwa mbaya kama wa akili.
 
Mimi baada ya kuona amemuandika huyo jamaa then kuanzia hapo alichokiandika chochote naona Ni Pumba tu.
 
Ni kwa akili yako waweza kusema. Asemacho mtu ndicho awazacho na una haki ya kunena kwani ndicho unawaza. Ukweli utabaki ukweli hata kama utapingwa.

Alichotaka kukifanya Magufuli ni total liberation ya watoto wetu. Ikiwa haujapata uhuru wa akili wewe ni mtumwa na hakuna utumwa mbaya kama wa akili.
Mkuu ona aibu basi, naamini uko vizuri ila sijajua kwanini unafanya haya.
 
Huwa nikiwaza wahindi nafikiria ni kweli Biashara bila uchawi haiendi kabisa, Wahindi ni watalamu wa Management na pia wana spirt ya biashara. Lakini lipo kuja swala la Uchawi kwenye biashara jamaa ni balaaa, hawa wana matambiko mpaka basi.

Sasa kama wako vyema kwenye Management, wako vyema kwenye Skills za Biashara Uchawi wa nini?

Kwa tulio karibu nao tunajua haya ya Makafara yao ya kuchinja Mbuzi au Ng'ombe.

Je, ni kweli bila Uchawi Biashara haziendi?
Unaishi kutokana na mazingira...bongo nyoso
 
Ni utaratibu au utamaduni waliojiwekea, nakumbuka mwaka 2008 niliona tangazo la kampuni ya wahindi kwenye mtandao, nikawapigia simu, na wakanipa appointment niweze kufika kwenye kampuni yao kwa usaili; nilipofika town nikachukua tax mpaka kwenye hiyo kampuni. Nilipoingia getini, ilikuwa ni harufu ya udi, pale mapokezi kuna sanamu nyingi nyingi zimevalishwa maua, na zina udi uliochomwa kwa pembeni. Baada ya kujitambulisha, nikapelekwa kwa MD; na penyewe kulikuwa na masanamu huku kukiwa na udi; yale mazingira yalinitisha ila nilijipa ujasiri, baada ya mazungumzo akataka aniajiri mimi na mke wangu kwenye kampuni yao; ila kutokana na mazingira, pamoja na nature ya kazi nilitaja dau kubwa; tukawa tumeshindwana, nami nikaondoka. Nilichojifunza, kwa mazingira yale kuna uwezekano wakawa wanatumia uchawi wao, hata mimi pia niliogopa kuajiriwa mimi na mke wangu hapo, si ajabu tungefanywa zoba, na akakosekana wa kumkomboa mwenzake.
 
Hapo kwenye michepuko uko sahihi. Sijui
Tuanzie hapa: Mtz wa leo, kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 12 jioni anatazama mpira.

Akitoka mpirani ikifika saa 1 usiku anasikiliza michezo mpaka saa 4 usiku
(analala)

Kukikucha: anasikiliza sport HQ & sport arena mpaka saa 7 mchana. Hivi mpaka hapo bado tunawalaumu wahindu jamani.

Hapo sijagusia mambo ya mondi & udaku. Lkn kwa upande wa wahindu hawana mambo mengi wala maongezi mwengi pia hawana michepuko. (Yeye na mkewe tu)

View attachment 2034929
kama wako sawa kwenye urijali.
 
Ni utaratibu au utamaduni waliojiwekea, nakumbuka mwaka 2008 niliona tangazo la kampuni ya wahindi kwenye mtandao, nikawapigia simu, na wakanipa appointment niweze kufika kwenye kampuni yao kwa usaili; nilipofika town nikachukua tax mpaka kwenye hiyo kampuni. Nilipoingia getini, ilikuwa ni harufu ya udi, pale mapokezi kuna sanamu nyingi nyingi zimevalishwa maua, na zina udi uliochomwa kwa pembeni. Baada ya kujitambulisha, nikapelekwa kwa MD; na penyewe kulikuwa na masanamu huku kukiwa na udi; yale mazingira yalinitisha ila nilijipa ujasiri, baada ya mazungumzo akataka aniajiri mimi na mke wangu kwenye kampuni yao; ila kutokana na mazingira, pamoja na nature ya kazi nilitaja dau kubwa; tukawa tumeshindwana, nami nikaondoka. Nilichojifunza, kwa mazingira yale kuna uwezekano wakawa wanatumia uchawi wao, hata mimi pia niliogopa kuajiriwa mimi na mke wangu hapo, si ajabu tungefanywa zoba, na akakosekana wa kumkomboa mwenzake.
Pamoja na kuwa mimi nimeajiriwa( Sekta X) lakini pia najishughukisha na kutoa huduma za kijamii kwenye familia mbali mbali ikiwemo rangi zote yaani waswahili, wahindi, waarabu.

Ktk maisha yangu sijawahi kuona jambo la ajabu. Jambo lenyewe ni kuwa Ktk kila familia( Hindi Arabu) kwanza wana uwezo wa kifedha, pili wanaishi kwa makundi( uaani familia moja utakuta zaidi ya watu 10+). Wako vyema kimaisha/ fedha na biashara wanazofanya ni za kawaida tu. Jambo la kushangaza zaidi almost 100% of all families kuna mtoto au mtu mzima mlemavu/ ndondocha/ mwenye utindio wa ubongo.

Sitaki kusema kuwa ni kafara lakini inanishangaza sana.

Baada ya kugundua hilo nimeachana na huduma zangu za nyumba kwa nyumba.
 
Naskia huwa wanawaloga wafanyakazi wao ili musiache kazi😅 yani unalipwa 300K ila huachi kazi mpaka unaota mvi😅
 
Hahahaaa yaani Magufuli na staili zake za uongozi, za kutaka aanze kuandika yeye kwenye historia ndiyo unaona alikuwa anaenda sawa?
Badala ya kupeleka watu kujifunza technologies huko duniani ili wailete nyumbani na kufanya nchi ifunguke na kuzalisha bidhaa zake yenyewe, (as long as natural resources zipo) unawaza idea za Magufuli kuandika historia ndiyo iitoe nchi kwrnye umasikini?

Mpaka hapo wewe na akili zako ni sehemu ya tatizo la umasikini nchini kwetu..

Hatari sana!
 
Back
Top Bottom