Inakuwaje unalipa ada ya shule ya muhula mzima halafu mtoto anasoma wiki 3 shule inafungwa .

NKANOELI

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
203
61
Nimemlipia mtoto ada ya shule kwa muhula mzima ,ikiwa ni pamoja na tuition fee,usafiri,chakula na accomodation.Baada ya wiki tatu shule inafungwa na hapo hapo mtoto anarudi na invoice nyingine ukitakiwa kulipia tena ada nyingine kwa muhula ujao.Sasa mm swali langu ni kwa nini wahusika hawakufanya mahesabu angalau kupunguza ile sehemu ya usafiri kwa term inayofuata ? Naomba kuwasilisha
 
Watu wako kbiashara zaid xo hawawezi kukujari wewe unayepereka mtoto wako shulen bali wanajiwaza wao tuu na jua kuwa kila mfanya biashara yuko kwa ajili ya kutengeneza faida zaidi na si vinginevyo, kama vp peleka mtoto wako St. Kayumba yaishee, Maana huko ulikompeleka ni pasua kichwa
 
Watu wako kbiashara zaid xo hawawezi kukujari wewe unayepereka mtoto wako shulen bali wanajiwaza wao tuu na jua kuwa kila mfanya biashara yuko kwa ajili ya kutengeneza faida zaidi na si vinginevyo, kama vp peleka mtoto wako St. Kayumba yaishee, Maana huko ulikompeleka ni pasua kichwa......
 
Nchi inayoongozwa na raisi Dhaifu, Serikali ya chama cha Wapuuzi,na Bunge la kizembe tutarajie nini!? hapa mbwa kala mbwa, i quit!
 
Back
Top Bottom