Inakuwaje umeme unakatika karibu kila siku lakini bili za umeme zinazidi kuwa kubwa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje umeme unakatika karibu kila siku lakini bili za umeme zinazidi kuwa kubwa??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Angel Msoffe, Jul 28, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa kuna mgao wa mkubwa sana wa umeme Tanzania nzima lakini kinachonishangaza bili za umeme zinazidi kuongezeka kila mwezi, hii inakuwaje jamani??
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  unamaanisha bill gani?kwa nini usiwe na mita ya luku???
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / nazungumzia malipo ya matumizi ya umeme kwa wanaotumia mita za kawaida, ushauri wako ni mzuri sana ila huku kwetu ukiomba ufungiwe luku wanakwambia hakuna zimeisha yn mateso mtindo 1
   
 4. TheRedKop

  TheRedKop Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hivi umeme huwa unakatika mara nyingi au unawaka mara chache?manake tz hamna umeme..sasa sjui huo mgao ni wanini..xxnhajddslaar zao
   
Loading...