Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

Mkuu haurudishiwi ada sema inakuwa inaongezewa kwenye ada utakayotakiwa kuwa unaongezewa kama utapata mkopo chini ya 100% mi mwenyewe nililipa ada 60% ya ada ya mwaka ila nikapata mkopo batch 3 kwa iyo ikawa inapunguzwa kidogo kidogo kila mwaka
Mm kijana wangu amepata mnasema MS sasa nimelipa ada asilimia 60 anaweza kupata mkopo kwa sasa MKUU?
 
Naomba mtu atupe mchanganuo wa pesa za bodi zinavoingia kwenye akaunti wanaziweka kwa miezi mingapi ngapi pia kwa mtu aliyepata % wanaweka kiasi gn kila wanaziingiza pesa

Mwisho pesa hz tutarajie vyuoni tutazipata lin?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Asilimia Mia au arobaini haijalishi kwa sababu hizo asilimia zinaenda kwenye ada ambapo bodi inapeleka account ya chuo moja kwa moja .......wote waliopata mkopo hela zao zinaingia sawa tofauti ni kama mtu anapata ya books and stationary ndio atapewa laki saba mara moja inayofuata ni laki tano na hizo hela kwa semester unapokea mara mbili ambapo hizi ndio zinaingia kwenye account yako
 
Hivi inakuaje ukalipa ada chuo halafu badae batch 3 ikaja unakuta umepata mkopo. Je, watanirudishia ada?

Au nisubiri hadi batch 3 itoke

Chuo chenyewe ni UDSM
Unaandika barua ya refund mtakatana mwaka unaokuja
 
Back
Top Bottom