Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

UDSM ili usajiliwe ada lazima uwe umetoa yote sio nusu ila huwezi kulazimishwa kulipa ada utaendelea kusoma huku hujasajiliwa shida test zikianza haufanyi mpaka uwe umesajiliwa kwa hiyo unaweza ukasoma mwezi ukapita ukiwa hujasajiliwa
Huu ni uongo .. unaruhusiwa kulipa nusu au yote ... .. hulazimishwi kulipa yote
 
Duuuuh haya Mauaji Sasa mm nimeshalipa Nusu ya Ada na nilipanga nyingine nimalizie second semester daaaah mbona hii Ni kero sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umalizie second semester tena ada unatoa kwa semester moja ukitaka ndio unatoa wewe ya mwaka mzima mfano kama ni milioni unatoa laki tano semester ya kwanza na laki tano unamalizia semester ya pili ila ukitaka ndio unatoa milioni yote
 

Attachments

  • Screenshot_20201121-144200.png
    Screenshot_20201121-144200.png
    5.4 KB · Views: 5
Naomba mtu atupe mchanganuo wa pesa za bodi zinavoingia kwenye akaunti wanaziweka kwa miezi mingapi ngapi pia kwa mtu aliyepata % wanaweka kiasi gn kila wanaziingiza pesa

Mwisho pesa hz tutarajie vyuoni tutazipata lin?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Naomba mtu atupe mchanganuo wa pesa za bodi zinavoingia kwenye akaunti wanaziweka kwa miezi mingapi ngapi pia kwa mtu aliyepata % wanaweka kiasi gn kila wanaziingiza pesa

Mwisho pesa hz tutarajie vyuoni tutazipata lin?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Jamaa kasema j3, mi nimesema sikanyagi tena mpaka aweke hizo hela zisome kwenye ACCOUNT YA ARIS
 
Hivi inakuaje ukalipa ada chuo halafu badae batch 3 ikaja unakuta umepata mkopo. Je, watanirudishia ada?

Au nisubiri hadi batch 3 itoke

Chuo chenyewe ni UDSM
Wanarudisha au unamtafuta mtu ambae hajalipa mnaenda kwa bursar halafu bursar anamuhamishia yeye salio halafu mshkaji anakupa mkononi.

#YNWA
 
Udsm siki hizi wana-refund.
Kuna mshkaj wangu mwama juzi alirudishiwa laki tano. Tena wanaandika cheque.

Cha msingi yu ni kufuata process
 
Back
Top Bottom