Inakuwaje ujenzi wa jengo unafanya kufungwa kwa barabara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje ujenzi wa jengo unafanya kufungwa kwa barabara?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by tony25, Mar 12, 2011.

 1. t

  tony25 Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Leo nimeona kituko hapa arusha. Kuna jengo linajengwa na NSSF hapa maeneo ya round about ya Florida. Hapa kuna njia inakatiza kwenda maeneo ya kaloleni na soweto gargen. Sasa imefungwa kwa kuwa kampuni inayojenga hilo jengo wemejaza material yote ya ujenzi barabarani na kuweka kibao kuwa barabara imefungwa kwa muda. Sasa najiuliza hilo jengo ni kama la gorofa 20 hivi na ndio liko kwenye foundation, sasa barabara itafungwa mpaka lini? na je watu wanaokaa eneo hilo watapata usumbufu kiasi gani? na je mtu aliyetoa bulding permit hakuweza kujua kwamba pale hakutakuwa na sehemu kwa ajili ya kuweka building materials? Unaomba ufafanuzi wa wana body. Nawakilisha
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  this can happen only in Tanzania. Kuna vituko sana huko juu, nafikiri kumejaa vilaza wengi sana.
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,765
  Likes Received: 6,090
  Trophy Points: 280
  Is this article supposed to be under "Jukwaa la Siasa"? I don't think so. Tena unaonekana kuwa mkongwe humu JF mbona tena hivyo kaka?
   
 4. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu najikaribisha ili nijifunze. Kwa ugeni wangu nafikiri here is where it belongs au?
   
 5. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huu ni ushenzi mkubwa,najaribu kutafuta mawasiliano na yule mh diwani mdogo Nanyaro,pengine akaweza kulifanyia kazi,mwenye contact zake jamani,
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hhahaha niliposoma harakahara nilifikiri unauliza Kwanini Ujenzi wa barabara inafanya barabara ifungwe.. sasa ujenzi wa jengo barabara ifungwe??!! huku mbelembele vichakani ujenzi wa subway barabara haujafungwa .. ingekuwa tz sijui ingekuwaje
   
 7. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwani wee ndio mkandarasi?? umejuaje kuwa ni zaidi ya ghorofa 20??......... istoshe hakuna jambo linakatazwa duniani kama ukipita chanel zinazotakiwa.

  Masupastaa wa states wanafunga barabara kwa ajili ya shopping tu ... ije uwekezaji?? tembea kaka......
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Ndio athari za maendeleo hizo inabidi uvumilie.

  Miew hushangazwa na zile barabara zinazofungwa jioni na watu wakaanza kupiga urabu. Zipo kwingi tu, nimeshaona hapo Arusha, Singida, Dar na Dodoma.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Tanzania ndio hii bwana tunaijenga wenye moyo nayo hata kama gharama yake ni kusababisha maelfu kukosa mwelekeo wa kimaisha
   
Loading...