Inakuwaje pale muh:raisi anashikwa na haja.

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Unajua jana muheshimiwa Kikwete alikunywa maji mengi sana,kilichonishangaza hakushikwa hata na haja ndogo.Ndipo hili likanipitia kichwani kwamba pale ndo raisi ameshikwa na haja na anataka kwenda kujisaidia,inakuwaje.Anakwenda au anavumilia.
 
Wewe unaonaje?
 
Mmmmhhh kaazi kwelikweli
 
kunasehemu ya hotuba ilikupita ukiwaza hayo ... sijui dakika ngapi vile????

ila kweli unampenda mpaka ukawaza afya yake ... hongera ... kula tano rafiki yangu
 
Public speakers wote huwa wanajisaidia kabla ya kuongea kama anajua hotuba itakua ndefu,pia masaa 3 au 4 kwa mtu mwenye afya anaweza kukaa bila kwenda chooni.Kingine kama ungeangalia vizuri huwa hawanywi mengi kwa mpigo ni kidogo tu koo lisikauke
 
Unajua jana muheshimiwa Kikwete alikunywa maji mengi sana,kilichonishangaza hakushikwa hata na haja ndogo.Ndipo hili likanipitia kichwani kwamba pale ndo raisi ameshikwa na haja na anataka kwenda kujisaidia,inakuwaje.Anakwenda au anavumilia.

mhh I think we have more to discuss
 
Hayo yanaweza kutokea sana ila mbinu itakayo tumika ni kwamba
1. Hotuba ile itasitishwa na atamuita msaidizi wake na kuongea naye naye atajifanya kapokea simu kutoka Rais mwenzie nje ya nchi naye atasitisha kwa muda na kwenda kuattend call.

2. Kama itakuwa ni dharura kubwa labda alikula chakula kikaleta tofauti ya ukaaji mwilini basi Bunge litaambiwa lijadili machache yaliyosemwa na Mh Rais kwa dakika 30 hivi naye huenda kujisitiri na kurudi kwa gwaride la kibunge mambo yakaendelea.

..........My take!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Public speakers wote huwa wanajisaidia kabla ya kuongea kama anajua hotuba itakua ndefu,pia masaa 3 au 4 kwa mtu mwenye afya anaweza kukaa bila kwenda chooni.Kingine kama ungeangalia vizuri huwa hawanywi mengi kwa mpigo ni kidogo tu koo lisikauke

..ile hotuba ilikuwa amepanga kuvunja rekodi ya castro ahutubie zaidi ya masaa 5...ila aliikatishia saa la 4 ..baada ya kusikia haja zote...

....mwenzie castro alikuwa akipanga kuhutubia masaa manne anakula dry ration...na anakuwa na maji ya glucose anafanya kulamba tu ..ili asipoteze energy...

next time jk atakapohutubia bunge will apply this ..na atahutubia masaa 8..atakuwa anajitahidi kuvunja rekodi ya guiness..hilo ndilo litakuwa lengo kuu la hotuba yake hiyo.....sehemu ya hotuba hiyo atawataja kwa majina mawaziri na wabunge wote na wenza wao....
 
..ile hotuba ilikuwa amepanga kuvunja rekodi ya castro ahutubie zaidi ya masaa 5...ila aliikatishia saa la 4 ..baada ya kusikia haja zote...
SIZE]

Ha ha ha ha ha ha ah aha leo nimecheka mpaka mwisho....! Afadhali hatuna Raisi chapombe, manake najua mtu anayekunywa bia mara kwa mara huwa wanaenda chooni sana....!
 
lohh masaa nane??akihutubia nini??hatukawii kuelezewa mambo ya harusi ya mwanae humo ndani na blah blah kibao wat we want ni utendaji in actions nt in them words tumeshayachoka jamaniiii
 
Ukiwa katika mitihani mathalani na muda ni kikwazo huwa haja huisikii ila pens down kojo laweza toka atiii!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom