Inakuwaje nikimfikiria mtu ambaye sijamuona muda mrefu, nikija kumuulizia kwa watu ninaambiwa kafariki

Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
17,172
34,278
Habari za wakati huu,

Naombeni kujuzwa hii hua ina maana gani, yani ninakua namfikiria mtu ambae sjamuona muda mrefu mno ajabu nikikutana na mtu ninaejua anajua alipo nikimuulizia tu jibu no moja AMEFARIKI

Mara ya kwanza kunitokea, kuna classmates wenzangu nilikua nikielewana nao mno, sasa baada ya shule kila mtu kwenda kivyake baada ya mitandao kama facebook na instagram kuwepo nilijitahidi sana kuwatafuta sasa siku moja huko insta nikakutana na classmate wangu mwengine katika harakati za kuwaulizia hao wengine akanambia mmojawapo alifariki alikua anaumwa mwengine alifariki na uzazi ilinitesa mana nilikua hata nikiwa busy walikua hawatoki akilini mwangu

Nyingine nayo kuna kaka mmoja wakati nafanya kazi tulikua tunafanya kazi kwenye jengo moja ofisi tofauti,alitokea kunichunuku mno hata ikatokea mimi nikaacha kaz hapo nikaendelea na mambo yangu, ila sasa nikawa namfikiria mno kwamba sina namba na muda wa kwenda ofisini kwake sina nikawa najiambia nafsini nitaenda nikamsalimie yan nikawa kama nafsi inataka kwenda lakini mimi sjui uzito ulitokea wapi, sasa siku moja kuna mama ambaye tulikua wote kwenye hilo jengo akanipigia tukasalimiana akaniambia unamkumbuka Daud nikamjib yeah namkumbuka sana nimekua mzito kwenda kumsalimia tangu niondoke akanijibu amefariki tangu mwezi uloisha tena ukimuona mtu kama yeye njiani ukimbie kafariki ghafla na tulishamzika aisee skua sawa had leo najiuliza kuna nini?? kwa nini nikimfikiria mtu kama hivyo nakuja kuambiwa amefariki

Je, kuna meseji yoyote natakiwa kuijua na mimi kutokana na ufaham wangu wa nafsi sjui chochote?? naombeni kujuzwa kwa mwenye kujua

Mshana Jr Pascal Mayalla
 
Usije ukaniwaza mimi tu
Unaogopa?? Unafikiri hua inakuja kwa kuipanga kufikiria yan unajikuta tu uneshika hiki ghafla tu mawazoni anakujia mtu ambae mmeachana kitambo unawazia zile moments mlizoshare na hua ni nzuri bas najikuta namfikiria muda hu sjui yuko wapi na anafanya nini, duh kumbe mtu alishafariki inaniumiza mno
 
unaogopa?? unafikiri hua inakuja kwa kuipanga kufikiria yan unajikuta tu uneshika hiki ghafla tu mawazoni anakujia mtu ambae mmeachana kitambo unawazia zile moments mlizoshare na hua ni nzuri bas najikuta namfikiria muda hu sjui yuko wapi na anafanya nini, duh kumbe mtu alishafariki inaniumiza mno
Pole Madam
 
Habari za wakati huu,

Naombeni kujuzwa hii hua ina maana gani, yani ninakua namfikiria mtu ambae sjamuona muda mrefu mno ajabu nikikutana na mtu ninaejua anajua alipo nikimuulizia tu jibu no moja AMEFARIKI

Mara ya kwanza kunitokea, kuna classmates wenzangu nilikua nikielewana nao mno, sasa baada ya shule kila mtu kwenda kivyake baada ya mitandao kama facebook na instagram kuwepo nilijitahidi sana kuwatafuta sasa siku moja huko insta nikakutana na classmate wangu mwengine katika harakati za kuwaulizia hao wengine akanambia mmojawapo alifariki alikua anaumwa mwengine alifariki na uzazi ilinitesa mana nilikua hata nikiwa busy walikua hawatoki akilini mwangu

Nyingine nayo kuna kaka mmoja wakati nafanya kazi tulikua tunafanya kazi kwenye jengo moja ofisi tofauti,alitokea kunichunuku mno hata ikatokea mimi nikaacha kaz hapo nikaendelea na mambo yangu, ila sasa nikawa namfikiria mno kwamba sina namba na muda wa kwenda ofisini kwake sina nikawa najiambia nafsini nitaenda nikamsalimie yan nikawa kama nafsi inataka kwenda lakini mimi sjui uzito ulitokea wapi, sasa siku moja kuna mama ambaye tulikua wote kwenye hilo jengo akanipigia tukasalimiana akaniambia unamkumbuka Daud nikamjib yeah namkumbuka sana nimekua mzito kwenda kumsalimia tangu niondoke akanijibu amefariki tangu mwezi uloisha tena ukimuona mtu kama yeye njiani ukimbie kafariki ghafla na tulishamzika aisee skua sawa had leo najiuliza kuna nini?? kwa nini nikimfikiria mtu kama hivyo nakuja kuambiwa amefariki

Je, kuna meseji yoyote natakiwa kuijua na mimi kutokana na ufaham wangu wa nafsi sjui chochote?? naombeni kujuzwa kwa mwenye kujua

Mshana Jr Pascal Mayalla
Natumai mimi na wewe hatujuani, usijeniwaza bure nikadedi
 
Pole Madam
asante, kuna mmoja tulimaliza wote o level, tulikutania fb muda kidogo, tulikua tukichat sana sasa kuna siku akaniambia kesho nkiamka najiandaa kwenda kwa dogo graduation nitakutafuta asbh mie nikasoma nikapotezea na ujinga fb niliifuta account yan nilichoka tu kua fb skuona kama ni useful kwangu ikawa nimepotezana na huyo mwenzangu kwa style hio

sku zikapita mbele siku hio akanijia tu mawazoni nikajiambia dah ningekua sjajitoa huko ningemcheki saa hizi amenitafta na namba angu sjampa nikaingia wasap nikacheki cheki meseji mie nikazima simu out of nowhere nilijikuta tu, sasa nikaja iwasha jioni ile nawasha tu zinaingia msg kwamba namba flani imekupigia mno si chini ya mara nne nikaguna nikajaribu kumpigia huyo mtu hakua akipatikana nikaingia wasap nakuta amenitumia msg mama unamkumbuka flani amefariki leo amepata ajali amekufa hapo hapo hii ilinishinda nililia nilijiona nilitakiwa kumtafta kabla sasa nikiyapangilia sana haya matukio sjui yanatoa ishara gani
 
Katika visa vyote umetaja, vimeonesha kufariki kwa wahusika kumetangulia kabla ya wewe kuwa na lindi la mawazo juu yao...

Hivyo sidhani kama ni jambo lenye kubeba ishara yoyote
Watu8 yan nakua nawafikiria sana sana, yan nawafikiria then nakuja kupata tu taarifa wamefariki
 
1-3.jpg

Mkumbukee huyu Mr
 
Back
Top Bottom