Kuna jirani yangu amefikia hatua ya kumsusa mama yake mzazi kwasababu eti akilala anamuota na anaamini kwamba ndio anayefanya maisha yake kuwa magumu, je? hii ni sawa.
Nimejaribu kumshauri kwamba asiache kumpa support mzazi wake kwa sababu ya mambo yasiyoweza kuthibitishwa kwa uwazi lakini haelewi, nimemuacha aendelee na upuuzi huu wa kuamini mambo ya ajabu ajabu.